Weekend ya leo naianza hivi

Inavyoonekana, uko chakari kama Mboee!
Mkuu ulishawahi kula mabanzi ya upako..?
Yanatabia moja yanashuka kwa spidi halafu makali na huwa hayadumu kwa muda mrefu ila matokeo yake ukipelekwa hospitali madaktari watauliza kwanini hamkumleta tokea juzi..!!
Wakati mtu kapigwa dk 15 tu zilizopita..😅

Kama hauna muziki wa ku share basi kuwa muangaliaji tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…