Weekend Story: You Can't Handle The Truth

Usishangae ukaambiwa Walter na Inspector wanashea baba na mama. Iqra akapata mimba ya Walter. Grace akaliwa na Collins. Muddy hana chake.
Noooooo pls jamani Lara isiwe hivi! [emoji22]
Nakuomba sana usibadili gia angani.
Iwe tu kama ilivyo
Walter [emoji131] Inspector
Collins [emoji131] Iqra
Muddy [emoji131] Grace
Nitaumia mno ikiwa tofauti na hivi.
Sitaki kabisa kumsikia Firaun Walter yuko na Iqra.
 
Don't kill it mapema lara 1, make it a bit like quarter of Isidingo itusindikize mwezi huu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tunafanya mchezo jamani!
Story hii na mwezi huu wapi na wapi?
Badala tusome Quran tuna kazi ya kustorika.
 
Shall I handle the truth? I don't know. And at this point I'm too afraid to ask or guess.

Mimi napingana na suala la Walter kumla Iqra kwa nguvu zote. Mnataka kuniambia siku Walter anaenda kushinda dukani Collins na Caren walikuwa wapi? Doesn't make sense kabisa....yani Collins didn't fight for his love, backed by his sister? Why did Walter get to her first?

All the odds za kuwa na Iqra fall to Collins. But once again, can I handle the truth?

Thank you, lara 1
 
Dah! Hata kama we can't handle the truth lakini sio kwa style hii. Movie liko very unpredictable... sasa inspector kajiachia panya amekatikia mkia, mwarabu nae asipouona mwezi itakuaje? Toto itakua ya Collins au In charge, Captain, Mahita, Gewe, Tiba WALTER?
 
sikupendi ujuee!
 

Mkubwa wenzako tulidhakua Majimarefu, sijui Mangugu, Yahya tukabashiri weeeee? Ila ndio hivi tunakula chenga za kufa MTU, Mara doba ukilemaa unakula kanzu kabisa...
 
Jamani acheni na sisi Tarime tupate mwarabu
Kitu Iqra

Wacha poti Collins atuletee mwarabu

Wakurya ni soooooo!
Chezea

Mura weito Collins!
Murete huku kwetu mpakie kwenye libasi liendalo mwendo kasi hadi Tarime tata
Simpendiiiiii
 
Simpendiiiiii
Mura sasa wewe unapenda kuwaona tu hao warabu wakiendelea kuishi hapo Kkoo?

Wakati Tanzania ni kubwa mno

Wacha na wengine walete mbegu huku
Alafu next time tupeleke mwingine nyanda za kusini

Hahahahs

Kama vile namuona tata Collins wakipanda basi la mwendo kasi pale ubungo

Safari moja to Tarime hahaha karibuni sana tata!
 

We acha tu, kwani umeshajua kwanini babaake Walter alikua vile? Walter sasa inabidi ajue siri ambayo babaake hakumwambia.

Kwa sasa acha nitandike nijipumzishe kwenye kachumba kangu japo mashuka machafu kama ya Mujungu in those days, kesho huenda na Mimi nikapata wakunifulia...like those days za Koku na Mujungu.
 
Sichekiiii
 
Mmmmmmmh........
Sarout Mkubwa,,,
Kwa Bonge la Story mpaka Nakumbuka Kuwapa Hi, JF ote Coz Na Miez mingi Nilitolokea game Mko njema lkn....?
JF Ote mpooo ama Kuna wengne Mshaitwa na Sir.God?????
 

Hahahaaaa! Story kuisha lazima ile chapter ya kwanza ijibiwe kwa ufasahaa. Kuisha itaisha tu, ila lazima maswali yooote ya key characters yajibiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…