Weekend Story! Glory Be To God!

If wishes were horses. ... Tonny tu kawajambisha, sembuse msomali teh
 
Msomali kaja kufata chata yakeee na Lara hajatuambia kama Sally amesha Fanya kwanzia ajifungue so atakua na ugwadu sio Wa nchi hii action ya kwanza watapiga game moja kabambe na msamaha utapita hapo hapo
 
Ila am thinking loud itakuaje kama msomali atakua na mke tayar uko aliko enda uwiiii ntaomba Pendo ajiachishe tuu mwenyewe kwa Dee
Bana tusiwaze hivyo. Msomali hajaoa bado[emoji13] [emoji13] [emoji182]
 
Msomali kaja kufata chata yakeee na Lara hajatuambia kama Sally amesha Fanya kwanzia ajifungue so atakua na ugwadu sio Wa nchi hii action ya kwanza watapiga game moja kabambe na msamaha utapita hapo hapo
Kwa micare ile ya Dee naomba awe amembandua tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…