Weekend Story! Glory Be To God!

Haha -KANA- espy carbamazepine na team matumaini wote, nawasalimia kwa upendo wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sijaona mahali palipoandikwa mimba ni ya msomali.

So, inaweza kua ya Tony!

By the way, mpaka mtu kashonwa huko chini sio masihara. Msishangae kusikia Miscarriage!

[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

- KANA -
 
Hahaha kwa kujipa matumaini hamjambo. Si mlishaanza kutuna eti ooh sally na Dee walikaa meza moja so maybe mimba ya Dee. Me nimeshukuru tu, hata kama mimba ni ya Tonny. Ni bora mara 100
 
lara 1 naona umeamua kumwagia chumvi kidonda, lakini haina shida.

Ina maana big cassava ndio zimesababisha kizazi kuwa wazi? Naona unataka kuwapigia promotion wazee wa vile vitunda vya kuteleza vya kuandalia mlenda.

Hii sehem inazidi kunipa wasiwasi na kuniongezea mashaka ujue.
 
Sasa mwamba si pameshonwa, isitoshe Dr yupo hapohapo zmepiga kambi..

Angalizo, nyie akina espy mbapokatikia mitulinga muwe mnakumbuka vizazi vinabaki wazi msije kujitafutia bed rest za kudumu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

- KANA -
 
Ha ha haaa mkuu umechungulia palefuuu.
 
Yap big cassava full ndani ya Gari ndio imecause result read my lips!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…