Weekend Story! Glory Be To God!

Anasingizia watu bure huyo, aseme tu Msomali keshafanya vitu vyake...ndio maana anasuasua huku kwenye ubuyu. Na kama alijaribu full size badala ya passport sipati picha hiyo POP wameiwekaje madaktari. Kuna maeneo yana utata
Msomali alishasokomeza kizazi hukooooo, watatafuta sana mimba na hawaipati.
 
Mama Yeyoo Shunie eti kuna siku nimewahi kukwambia mie ndio yule MOTP? Aunt yako toka kitambo nilishajua tu anamashaka na mimi bure...wakati mkataba wangu mimi na wewe ni ubuyu tu, tena wa Babu Issa.
Ile tezi dume nilomuombea MOTP alafu lara akanifanyia figisu jiandae nalo wewe sasa.
 
Msomali harudiii.
 
Kwahiyo adress yangu unajifanya hauijui?

Aunt naona kuna kitu unanitafuta sio bure. Au unafikiri nashindwa kufacilitate Mama Yeyoo apate ubuyu wake directly bila kupitia kwako?

Niwekee hapa address hata kama ni care of mie ntafanya mipango ubuyu ufike iwe DHL au njia yeyote ilimradi Shunie apate mzigo wake! Usinifitinishe na Mama Yeyoo, hapa tu wachawi wameshaniletea nuksi eti mie MOTP, na kwenye TWH ntaomba wewe uwe kwenye episode ya mwanzo kabisa.
 

Kinachowasumbua watu ni roho mbaya tu! Sasa wanamtilia wivu Msomali kwa lipi?
 

Kukaangwa ntakaangwa ila na mimi passport na full picture itakua zimetembea sanaaaa! Naomba tu hii isiwe na mambo ya tezi dume!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…