Weekend Story! Glory Be To God!

Dah! Nimekuwa naifuatilia hii stori kimyakimya tangu day 1 bila kucomment lakini hapo kwenye turning point ya Baunsa kuwa detective umeniacha hoi aisee, fanani umetisha sana mpaka hadhira imebidi nitoke pangoni.

Mimi si team Dee wala msomali Bali ni team baba watatu (mume wa winnie) na team Baunsa sababu hawa Jamaa they stayed real to their feelings, wameenda extra miles na kubeba mizigo mikubwa kwenye mioyo yao lkn hawakuacha kuwapenda wanawake wa maisha yao.

Looking forward to the story behind B's road to Interpol from jail. Keep up the good work fanani.
 
Nilikutamani uje mda mrefu sana
[emoji23][emoji23][emoji23]team msomali wamepoteana tangu round ya kwanza na sasa guantanamo inawaita dadeq
Team Dee tumeshinda sasa[emoji123][emoji123][emoji123]
HS na qurie watakusindikiza wakati waenda pm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Huko jela waarabu hawatamuacha msomali salama!

- KANA -
 
[emoji57] [emoji57] [emoji57] mfyuuu lione

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha Useeeenge inaishaje sasa??

IENDELEEE MPK JF IFUNGWE!!

IFANYE TU DAYS OF OUR LIVES

TUONE MPK WAJUKUU WA HUDDAH!!

psyuuuuuu usitutanie wewe!
 
Japo team dee meshinda still hamna happly ever after hamna aliyeachwa salama wote wameishia kwa majonzi
 
Ooooh poor msomali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…