Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Zilikuwa hasira tu baba Lorraine. Hivi kwa kujifaragua kule kwa chiku jamani, ndo kulituumiza zaidiIt's a simple fact!
Kama umekubali huduma, nikubali na mimi. Sio huduma kwako na mwanao iwe tamu ila unione kunguni.
Cheating is bad, but cheating with msomali is worse and unforgivable!
- KANA -
Ndo atulie sasa dawa iingie vizuri, maana hata Dee zile ni hasira tu!Zilikuwa hasira tu baba Lorraine. Hivi kwa kujifaragua kule kwa chiku jamani, ndo kulituumiza zaidi
Ila Dee ataumia kama sally atarudi kwa msomali. Ila better, angalau ataanza kumcare Pendo wake alompenda kwa dhatiNdo atulie sasa dawa iingie vizuri, maana hata Dee zile ni hasira tu!
Mwenyewe sitaki Dee arudiane na Sally. Turudi kitaa tukaliamshe dude!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
- KANA -
No!Ila Dee ataumia kama sally atarudi kwa msomali. Ila better, angalau ataanza kumcare Pendo wake alompenda kwa dhati
Mama hebu punguza ukali wa maneno basi Dee si mwanaume??doooh!Me nishamtoa Dee kwenye list ya wanaume[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Msomali dume, ndo maana aliposikia ana mtoto akarudi fasta. Utamuachaje mwanamke uchi mbele za watu? ? He's stooped so lowMama hebu punguza ukali wa maneno basi Dee si mwanaume??doooh!
Hivi msomali ni mwanaume eeh?[emoji23][emoji23][emoji23]maisha haya
Hivi kuchepuka anachepuka Dee tu?au kwakua mafail ya msomali hayajawekwa mezani??...acheni kutunyanyasa bhana[emoji15][emoji15][emoji15]Wewe mbona kutwa kuchepuka na kina chiku ndala ndefu? Kwani ukimuhudumia mtu financially basi ni ruhusa kumuabuse emotionally? Mkuki kwa nguruwe eeh
Shabaash!Mama hebu punguza ukali wa maneno basi Dee si mwanaume??doooh!
Hivi msomali ni mwanaume eeh?[emoji23][emoji23][emoji23]maisha haya
[emoji23][emoji23][emoji23]eti msomali dume....hebu niache nicheke kwanzaMsomali dume, ndo maana aliposikia ana mtoto akarudi fasta. Utamuachaje mwanamke uchi mbele za watu? ? He's stooped so low
Kwahiyo kipimo cha uanaume ni kurudi kufata mtoto au kutokuchepuka?[emoji23][emoji23][emoji23]eti msomali dume....hebu niache nicheke kwanza
BothKwahiyo kipimo cha uanaume ni kurudi kufata mtoto au kutokuchepuka?
- KANA -
Msomali kamcheat nani?Hivi kuchepuka anachepuka Dee tu?au kwakua mafail ya msomali hayajawekwa mezani??...acheni kutunyanyasa bhana[emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji1] [emoji12]Both
Ukidume wa kumtelekeza mkeo na mwanao kisa papuchi?[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji1] [emoji12]
Wakati tunamtunza mwanenu mbona hamkusema kwamba Dee kidume?
Wakati tunahangaika na Kuhudumia Sally mbona hamkusema?
Wakati msomali anachukua bibi kizee mbona hamkumvua uanaume?
Au uananume wa Dee ndo unavulika?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Next time Sally akijichanganya tutamburuza mitaani. Hatutaishia sebuleni.
- KANA -
Mama we!Ukidume wa kumtelekeza mkeo na mwanao kisa papuchi?
So na yeye alivyokuwa anacheat na kina Fiona. Au alipoondoka akahamia kwa Chiku nayo ni sahihi??? Ila Sally kadhalilishwa kwa kweli sio fairIt's a simple fact!
Kama umekubali huduma, nikubali na mimi. Sio huduma kwako na mwanao iwe tamu ila unione kunguni.
Cheating is bad, but cheating with msomali is worse and unforgivable!
- KANA -
Haha utaona kama Dee hatomkumbuka PendoMama we!
Pendo hajatelekezwa, ameachwa!
Kuna tofauti kati ya kuachana na kutelekezana. Alafu mwanetu Lorraine mbona tuko nae tunalea?
Hebu pambaneni na hali zenu taratibu, msitingishe hali zetu!
- KANA -
Kwa Pendo hatarudi maana kule penzi hakuna kabisaIla Dee ataumia kama sally atarudi kwa msomali. Ila better, angalau ataanza kumcare Pendo wake alompenda kwa dhati
Never say never
Ni hasira tu!So na yeye alivyokuwa anacheat na kina Fiona. Au alipoondoka akahamia kwa Chiku NATO ni sahihi??? Ila Sally kadhalilishwa kwa kweli sio fair
Sent using Jamii Forums mobile app