carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,579
- 285,646
True love comes with jealous in it.. Ni uchungu tu kwa Vyenye anamkubali sally.Duuuh Namuonea huruma Sally kwa aliyoyapata kwa Dee...ila kwa hapa hata sielewi yaani nimeshavurugwa ingawa natamani msomali warudiane tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini Ni hasira tu zile ndo zilimfanya Dee aende kwa chiku.. Ile ya kufanya maamuzi ukiwa na hasira.Mrudishe Sally kwa msomali watengeneze happy family, huyo Dee hamfai Sally abaki tu na Chiku wake
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji4][emoji4]Weeeee mimi ni team msomali hadi mwisho. Nina msimamo kama wasomali
Me nishamtoa Dee kwenye list ya wanaume[emoji13] [emoji13] [emoji13]Dee jaman sijapenda ulivyomfanyia Sally hakustahili hiyo adhabu
Hafai jamaan si kwa ukatili huo aliomfanyia SallyMe nishamtoa Dee kwenye list ya wanaume[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Maneno tuMe nishamtoa Dee kwenye list ya wanaume[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Teh Dee umebugi sana. Aisee hii ni opportunity kubwa kwa baba HuddaManeno tu
- KANA -
Sally ameshuka dau!Teh Dee umebugi sana. Aisee hii ni opportunity kubwa kwa baba Hudda
Wewe mbona kutwa kuchepuka na kina chiku ndala ndefu? Kwani ukimuhudumia mtu financially basi ni ruhusa kumuabuse emotionally? Mkuki kwa nguruwe eehNikuhudumie wewe, nimhudumie mwanao ambae babaake alisepa kwenda kula ujana. Then tugombane kidogo ukampe mechi eti unikomoe?
Hata mimi nakutoa nje uchi!
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
- KANA -
It's a simple fact!Wewe mbona kutwa kuchepuka na kina chiku ndala ndefu? Kwani ukimuhudumia mtu financially basi ni ruhusa kumuabuse emotionally? Mkuki kwa nguruwe eeh