Weekend Story! DESPERATE!

Anna!

Nimekuja kustuka mda umepitaa kweli kweli, nikakumbuka ishu nzimaaa, kuanzia Juice, mpaka najitahidi kujiokoa kwa kina Freddy na Mama, mpaka naletwa hospital, i was just heartbroken. Niliumizwa na vingi kwamba ill WAS SO CLOSE, TOO CLOSE to getting all i ever wanted but i ended up with nothing. Nikaamini tu moja kwa moja kwamba mimi Anna nina GUNDU. No matter how hard i wish, or pray, or hope marriage will never be on my plate. Why in the hell did i have to sleep with Troy that day.

No i knew for certain Troy was THE SNITCH and he snitched on me, even after giving me his word he wont do it but he did anyway. Mazafantaaaa. And what pissed me off more, why did he have to lie about pregnancy to Fred. Ndo nikaelewa Troy framed me, kama alijua kuna surprise birthday party alihisi kutakuwa na engagement nda maana akanitia ndimu nenda, sasa hivi kaulize, that son of beach.

I was not clearing Freddy of his crimes, only i was establish grounds for my case, attemted murder and accessory to commit murder ambayo itamuhusu Troy moja kwa moja. I also though of the dresses, designer gown, i may never see them again. And i though i might have died just like that? Bado nikawa najiuliza what did he put in my drink? And why he changed his plans to try to murder me. Au Freddy ni wale watu wa Makafaraa alitaka kunitoa kafara nini? Au ndo maana haoi, akitaka kumuoa mtu anamtoa kafaraaaa. Mmmmmhhhh! Nikajikuta natetemeka.

Akaja Dr, nikamuuliza direct "Walinipa sumu gani? ya panya ya mende au overdose?" Basi Dr anajikosha Anna naomba ufute kabisaa mawazo kwamba umepewa sumu au ulitaka kuuliwa, sio kweli kabisaaa" Nikamuuliza "Freddy kakupa bei gani umfichie jaribio lake la mauaji ya kunitoa kafara?" Dr aibu zikamshika akauliza tu "Do you really think like that about him?" Nikamuuliza tu "If you were me what would you be thinking?" Akakaa kimyaaa.

Akajikusanya akaniambia "Sikia mimi ni Dr and i know what went down, Mama Freddy alikuwa anakupa dawa ya kiennyeji ikusaidie kwenye mimba yako, bahati mbaya ile dawa iakudhuruuu." Nikamsahihisha "Alikuwa ananipa dawa ya kunitoa mimba, too bad sikuwa na mimba" Basi anajikusanya "That is pretty much what went down. na Freddy hakuhusika ni mama yake tu ndo alikosea kidogo." Nikamwambia "Hivi Dr mi ningekuwa mwanao kweli ungekuwa na same opinion about everything, au sababu mimi wazazi wangu wamekufa na Freddy ana hela za kununua hii hospital ndo inakutoa utu kiasi hiki. Even if my life dont matter to you or Freddy dont hide the facts they tried to kill me"

Akaniangalia akasema "He didnt Anna, if he didi kwanini alikuleta hospitali, si angekufukiaaa kule kule nyumbani. Ony mambo yaliingiliana" Nikamjibu labda he was not man enough to finish the job" Yaani nilikuwa na mawazo sanaaa. Dr akaona anampigia mbuzi gitaa acheze. Akaniambia "Anna kuna polisi hapa wamekuja kukuhoji wanadai wamepokea taarifa za kiintelijensia kuwa Freddy alijaribu kukua. Kuna mtu kaenda kutoa taarifa hizo na mauaji ni kosa la Jinai. Maadamu ume survive wanataka statement yako what went down, ndo wakawakamate Freddy na Mama yake. Mi kiukweli nilikuwa nimechoshwa na woote. Basi Dr. anasisitiza "Be careful what you say, maybe be taken out of context ni bora ukawa na lawyer wako kabisaaa." Nikamuuliza be direct"I should not implicate Fredy, how much is he paying you again?" Akaondokaaaa.

Wakaja Askari, Inspector Wille, mpelezi wa kitengo cha makosa ya jinai toka central police. Mi nimekaa tu anajitia kuniuliza unaendeleaje una hali gani? Nikamwambia Afande cut the chase, mi sijashitaki chochote nashangaa nahojiwa afu naumwa kinomaaa. Basi Afande ananiuliza "Unamfahamu Alfred?" Nikajibu ndio ni mchumba wangu na mume mtarajiwa. Anaendelea kuchimba "Mlikuwa na mtafaruku wowote siku ya majuzi kuamkia jana? Labda majibizano au kupishana kauli?" Nikasema "Hapanaaa afande tulikuwa poa kabisaaa" "Na siku hio unaweza jua alikuwa wapi na anafanya nini?" Nikamwambia tu ukweli alikuwa home mpaka saa 10 jioni sikumuona mpaka saa 8 usiku wa siku hio sasa alikuwa anabwekea wapi sijui. Basi Afande ananiangalia machoni "Siku hio alimtishia bastola ndugu Troy majira ya sita usiku je umesikia au kufahamu chochote juu ya hilo?" Nikajibu tu Hapana Afande. Moyoni nikajua tu Troy alivosikia niko hospital itakuwa alienda kumchota mlinzi akamwambia nilibebwa damu zinavuja akakimbilia kutoa taarifa polisi.

Afande bado ananipiga maswala na siku ya jana ilikuwaje mpaka ukaletwa hospitali?" Nikamjibu tu "Mi naumwa umwa sanaa, nikahisi ni mimba, na mama mkwe akahisi ni mimba, akawa kanitengenezea dawa za kienyji za chango, zinisaidie kwenye mimba, basi bahati mbaya nimempoteza mtoto na Freddy na mama ndo walinileta hospital. Afande anauliza "Mbona majirani wanatoa ushuhuda usio na shaka yoyote walikusikia ukipa yowe la kuomba msaada ukisema WANTAKA KUNIUUAAA, NISAIDIEENI WANANIUAAAAAA unaizungumziaje hii kauli ILIOTOKA KINYWANI MWAKO MWENYWE." Nikawaza fastaaa inspector was good ukiwa muongo uwe na concistency, na mimi game of lies is my thing, lieing is my talent. Nikamjibu "Ujue afande mi nina matatizo haya ya kiswahiliii, mapepooo na mashetaniii, sasa mda mwingine naona vitu vya ajabu ajabu ambavo nakuwa napiga kelele nikiviona, wazungu mnaweza hisi ni psychiatric case, ila kibongo bongo tunasema vinyamkeraa, mapepo , majini yanamsumbua mtu, badala ya kwenda Milembe tunaenda kwa Gwajima. Besides kama Freddy angekuwa ndo anataka kuniua kwanini yeye ndo anikimbize hapa hospitali.

Inspector akaja na lingine "Dr amekwambia ripoti yako yoteee inavotakiwa uambiwe au amekupa juu juu. Sio nafasi yangu kukwambia ila sababu unamlinda mtu aliekufanyia huu ukatili sijui umetishwa au umelipwa ila file lako hili hapa ngoja tuone linasemaje. Na nukuuu "The patient uterus system was highly damaged, most tissues raptured, high probability of INFERTILITY and possible future Uterus complications. Medical Advice REMOVE UTERUS TO AVOID CANCER AND CANCER RELATED COMPLICATIONS. BLAH BLAH BLAH."

Nikabakia nimekufa ganziiii, mi MGUMBA, machozi yakaanza kunimiminika kama nina msiba. Dr akaja mbiooo, Afande unaingilia uhuru wa mgonjwa na kumsababishia matatizo kiafya basi kwa leo imetoshaaaa. Inspector akaacha business card, "IF YOU FEEL YOU DESERVE JUSTICE AND WANNA CHANGE YOUR STORY JUST HOLLA" Nililiaaa siku nzima iliobaki, na wiki yote niliokaa pale nililia yoteee usiku na mchana.

Alikuja Mama Freddy nikajifanya nimelala kama nimekufaaaa, akajua tu hamna kitu. Freddy hakuja. Alikuja Troy kujitia victim na yeye katishiwa bastola na Freddy, nikamwambia bora hata angekuua kabisaaa. Akajitia kustukaaa. Nikamwambia tu mwenzio sahivi MGUMBA i hope it was worth it for you, and you should be the happiest man on earth for stealing my dream from me. Hilo la ugumba hakulitegemea, lilimnyanyua kimya kimya akaondokaaaa.

I didnt call off the wedding cause i was hopping Freddy ndo angefanya hilo swala. Hakufanya. Mpaka Tangazo likatangazwa mara ya 3 kanisani, Guess who objected kwa pingamizi? Troy! Pingamizi lake bwana harusi alijaribu kumuua bi harusi na kuishia kumtoa kizazi. Akaambiwa kalete report ya police, hanaaa. Basi pingamizi likafeli. Mpaka ikafika siku ndoa kabisaaa na ikawa shwari cause hakuna mwingine alie weka kikwazo. Somehow nilitegemea Freddy being Freddy kungekuwa na vikwazo vya kihistoriiii huko parokiana, vikwazo vya kutosha walaa, mambo shwari.

Nikawaza tu what if nivae zangu nguo zangu za kawaida tu niende labda what will happen, ila nikaona ujingaaa tupu, mimi fungu hilo la ndoa sijapewa hio riziki kabisaa. Naweza kwenda kanisaa likabomokaaa. Basi hakutokea bi harusi wala bwana harusiii

Nikawa nimekaaa kwa Mariane almost miezi mi 3, nikapona kabisaaa, nikawa nimehaia kwangu. Sababu nishakuwa CERTIFIED mgumbaa, maana nina vyeti rasmiii vya ugumba finding a husband was totally pointless cause sooner or later angetaka tu mtoto na uwezo wa kumpa huyo mtoto sinaaa. Life was so boring. Sio kwamba tangu ile ishu sikuwahi kuonana na Freddy, nilimuona mara kadhaaa tu ila he was avoiding me and i was avoiding him.

I tried dating again ila it was too boring. Yes unapata watu ila wa ajabu ajabu basi tu nothing like Freddy. Unahangaika nao siku 2 au 3 unonaa unahangaika kwenye hamnaaa hamnaaa. Nikaanza kupata mawazo labda tu nihame nchi kubadilisha mazingira, hii nchi imekuwa ngumu sanaa kwangu. Nikaanza ku apply vyuo vya huko nje, PHD za miaka 7 na Scholarship.

As much as i hate to admit i somehow missed Freddy, not that i stopped loving him at any point, basi we could never be together ila he will always be the love of my life. Nikapata hio scholar ship, nikawa najiandaa kuhama nchi kabisaa, utamu wa kupenda umekula kwangu. Siku moja nikiwa nipo kwenye maandalizi ya mwisho mwisho kabisaaa ya kuondoka i just felt like nikamuage tu Troy one last time. So that abakie na mani. Times heels everything and all wounds, i was no longer bitter, just hopeless.

Troy alikuwa ashaoa tayari, ana mke, tena mkewe mjamzito. Nikagonga akanikaribisha, nikamuulizia Troy, akatoka chumbani. Akakosa amani utadhani sijui nini, akafadhaikaaa. Nikamwambia mi nimekuja tu kukuaga, naenda Holland kimaishaa, i may never be coming back. Nilitaka tu ujue nimekusamehe na uishi kwa amani." Akajieleza mambo mia, mpaka Snitch ni mchungaji of which took me by surprise. Basi nikamuaga, kweli alipata amani kubwaa sanaa, na mimi nikapata amani kuwabeba watu moyoni nako sio mzigo mdogo. Basi akanipa dawa ya miti shamba dawa ya wamasai, akasema ukinywa hii utapona kabisaa na utazaaa. Uwe unaitumia tu kidogo kidogo nilienda kukutafutia kwa bibi, na aliitafuta sanaa sanaa, imesaidia wagumba wengi sanaaa. Nikaipokea.

Nikaenda kwa Pastor kumsomea mashtaka yake ya usnitch kwamba nimejua, na awe tu amani. Pastor alibabika kama sijui kitu gani. Anachojitetea hakkielewekiii. Nikamsikiliza tu pale, na kumwambia mimi i am no longer bitter nimemsamehe toka moyoni na awe na mani kabisaa na ajisamehe na yeye tuendelee na maisha mengine.

Unaweza suielewe kwanini Mandela aliwasamehe Makaburu woote waliomtesaa na kumfunga miaka 40 ila hakumsamehe mkew Winni Mandela mpaka anakufa. Hapo ndo mtaelewa THERE IS A THIN LINE BETWEEN LOVE AND HATE. Sikuweza kumsamehe Freddy. I jus couldnt. Nasema nimemsamehe kesho nampigia simu,kesho sipigi wala nini. Au nimemsamehe kesho naenda kumuona ikifika hio kesho kama donda ndo limeatuliwa nyuzi siendi kokote. I just came to accept kama Mandela alivoshindwa kumsamehe Wiinie Mandela na mimi sitoweza kumsamehe Freddy.

Nikawa nainywa ile dawa ya Troy, i dont know why niliinywa bu maybe bacause he game me hope, nikainywa tu hata nisipopona i tried. Yote ikaishaaa. Ikabakia siku moja nikasema hii sasa lazima nikamuage Uncle Freddy. Ikapita yote mpaka naenda kupanda ndege sijaenda kumuaga wala kumpigia simu, na moyoni nikajua GAME OVER.

Nimeondoka, nimefika holland, nimejisajili chuo na leaving was the best idea ever, maana kule haman mtu anaenijua au anaejua my story, kwa raha zangu, i almost got a new life. Almost. Untill one day nimekaa nikasikia mtu anangongaa, nikaenda kuchungulia UNCLE FREDDY! Holland huku tena vipii, au mawazo tu. Tukawa tunaangaliana akasema "Troy told me where you are, and he thinks we need to talk" What a lame line after all these years.

Nikamfungulia mlango, akaja basi tukawa tunaongea tu kama watu wazimaaaa. Trust Uncle Freddy he might have gotten older ila mambo yake hajaacha kabisaa. Talks zisiishie kwenye kufanyanaaa. Hahahaaa! Aibuuuu! But it was what it was. Alikaa pale 3 weeks. Basi kila siku najua kesho anasema anaondokaaa wapiiii. Ukafika mwezi kamili, siku hio sina hili wala lile akaniambia "Tomorrow we should go and get married at the church just the 2 of us." I just said "Yes" Ila moyoni nikawa najua tu hio kesho haitofikaaa lazima kitatokea kituuuuu tu usikuu mpaka hio kesho isifikeee.

Kisipoanguka kimondooo, basi litatokea tetemeko la ardhi, lisipotokea tetemeko kutatokea kupatwa kwa jua ghafla. Yani i seriously was not hoping for anything. Kukakucha bwanaa, nikavaa tu nguo yangu simple nyeupe, nikajua kama niani haijatokea jali mmoja wetu akafa basi tutakufa wote kwenye hio ajali. Tukafika kanisani. Akakumbuka kasahau pete ikabidi akanunua hapo hapo mjini. Basi tukamwambia padre we need to get married, akasema parokia ya huku wanaijua maana wao ni shirika moja la Fransiscan Fathers, akatuma tu email, akajibiwa rekodi zipo za kuandikishwa hio ndoa na kuhudhuria mafunzo ila hawakutokea kufunga. Basi akasema nitawafungisha.

Misa ya ndoa watatu tu, mimi, Freddy na Father. Masomo tumesoma wenyewe imagine. Hahahaaaaa! And we were MARRIED! Picha SELFIE. Ofcourse baada ya kufunga i came back to my senses nika demand gauni la maana, makeup, tukaenda kupiga professional shoot. Watu wanakuja kustuka Profile tu zinasema Mr. and Mrs. Mapicha picha ya kutoshaa. Honey moon miezi mi 3 na hivi tulikuwa umemisiana. Narudi honey moon tumbo kubwaa kubwaaaa. Kumbe ile dawa ya Troy ilikuwa ya kweli, Freddy anajua miracle. Basi nikawekwa bed rest ya Freddy, Dr Full time, just in case. I GOT MY HAPPY ENDING, NOT EXACTLY AS I PLANNED BUT I GOT IT ANYWAY.

THE END.
 
Namimi najua kutiana kinouma
Ofer me kapchino
 
Kama ipo ipo tu, na kama ndo ubavu wako Mungu kapanga mtapitia changamoto kibao, ila mwisho mtakuwa pamoja.
Thnx Lara 1
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…