Weekend story! BEN 10

KONKI ACID!

Well not all of us should sell drugs for a sucessful life! Some of us are just clean, hard working and sucessful! We work so hard to get here! It was hard work, over hard worker and even more hard work! Nawaahidi wadogo zangu mkisoma kwa bidiii sanaa na kujituma one day yes mtakua kama mimi! Rich clean and sucessful!

Najua ni ngumu kuamini na bora usiamini ila ndo ilivotokea! Kama utani utani lakini ni kweli! Hard work is key! Na juhudi ndo kila kitu. Mimi ni mtoto wa familia za kawaida kabisaaa kama nyie nimejituma sanaaa na sasa nimefanikiwa na kutoka kimaisha!

Hio ni simulizi tamu ya alinacha niliokuwa naisoma kwenye gazeti la mfalme juha! There is nothing like Luck! You create your own luck! Usipofosi kingi katika maizha haya hutokaaa utokeeee! Yes i make lot of money but i do break lot of laws on daily basis! I dont sell drugs for now, but i sold drugs for a longtime until i started consuming my own mechandise!

Went to reharb, got clean, came back stronger than before! Hans sio teja ukilinganisha na teja mimi! If he finds purpose in life he can over come addiction! And once you overcome addiction you are invicible! Hakuna kitakacho kushinda!

Between me and you sina cheti chohote! Yes i am fraud! Vyote nimejitengenezea na kujipa! Nilikaa nje kidogo so nikaandaa kabisa photo shop za ukwee! Nikazijaza linked in! Nikaji photoshop mpaka school picture za vyuo nilivofoji miaka nilioji graduetisha! I am the master of this game!

Nikaanda linked in profile yangu safii kabisa na kurejea bongo! Wa kwanza kujaa ni NIC, nakunywaga na Managing director wao, anapenda sanaa totoz! Nikamuachia tu cv yangu kwenye biabaada ya kujuana wiki 2! Akanipigia simu! Akatoa oda huyu namtaka kwenye team yangu mpe mkataba! Wakaniuliza mshahara nikasema 4m si serikali! Wakasita sita akawaambia vyeti vyake mmeviona? Wakanipa!

Kufika pale nikagundua loop holes nyingi sanaa! Nikaanza kujenga team yangu. Nikaanzisha kwanza agency yangu ya kuuza bima! Siuzi bima siuzi chochote nauza tu kava noti zile sticker kumkwepa trafic! Kama halali wanakata piki piki 40k mi sticker 20k! Nimeziuzaaaa! Tena nakula na wenyeviti wa vijiwe vya boda boda! Nawatia pesa! Wanasaidia kunitangaza! Nchi nzima nauza cover note tu! Magari sikutaka sababu! Sometimes they do get accidents sonawapoza kuwalipa from mfukoni! Boda boda hawajasoma! So kuwa manage rahisi!

Nikagundua kuna so many unclaimed death insurance! Nika dowload data za mikoa yoteee! Hizi bima za maisha zimewiva ila wenyewe penginepo wamekufa afu ndugu zao hawajui! Nikapanga team yangu ya kutafuta watu wa kutoshea wasifuwa watu wenye bima hizo! Kama mzee namtafuta mzee! Kama kijana wa makamo namtafuta kijana wa makamo! Nawatengenezea ID si nina inside data na kuwa feed info! Nawapeleka front kuclaim hizo bima! Nilipiga hela ndefu kijinga sanaa!

Nikaja kuona loop hole kwenye magari ya mizigo yanayopata ajali afu hayana bima au bima zimepita! Kupitia agency yangu nikatangaza tu kwenye black market kama mtu akikutwa na hio issue aje tukae mezani! Wakija natafuta gari inayofanana kwenye system tunachukua plate number, tunatengeneza na kubadilisha na ile ya ajali tunawapooza na polisi! Bima inalipaaa! Tunagawana pasu kwa pasu! Sasa semi unakua 50m tukigawana 25m niba hasara gani! Agency kila mkoa! Kwa siku nina issue hizi 5 mpaka 10!

Nikawa mkurugenzi tunalipana kwa siku million 5 in return ananipa imunity! Ma auditor wakija wakitaka kukisanua wanahamishwa idara! Baadae watu wakaelewa sigusiki! Wakawa wananiacha tu! Acha kuingiza forgerynalipwa comission mara 3, 3! Mpaka TIRA nikaibemenda vile vile! Mteja namkatia comprehensive, TIRA naingiza comprehensive afu ofisini bima nawapelekea 3rd party! Napocket the difference! Conki, conki acid kweli!

Fitna zikazidi pale ofisini! MD akaniambiabwana mwanangu kichwa ila hapaishafanya mazabe makubwa nenda standard chattered kapoe kidogo nakupeleka Zanzibar Insurance! Akampanga MD hili jembe linakuja kukuonesha fursa zote! Nikaingia standard chattered! Md akaniambia angalia hapa tunakulajeee? Ndo nipo kwenyekuangalia!

Most of my income kama kawaida pikipiki na bajaji cover note zile! Hizi clean investment nimefanya ndio ila return yake ndogo sanaa! Afu income yake ya msimu sio stable!

Ghost namjua sanaaaa! Tena sanaaa! And i dont like him to set the record straight! Na hata alivokuja ofisini kwangu akaniambia kama nakufananisha! Nikamwambia sio mimi! Nimekuja bongo sina mwaka sijakulia bongo! Akanikubalia! Ananichora na mie namchora

Ghost mwanamke wake Kyle nimemjua mda sanaa! Nilikuwa naenda Club D! Namkita ana uchunguuu moyoni kweli kweli! And Ghost waa treating her like trash! Nikamuuliza mtu sasa kwanini huyu mwanamke hamuachi Ghost! Akaniambia hajapata mwanaume wa maana! Anaejua kumpenda mwanamke!

At that time i waa acoke head! Nilimuhurumia tu! Nikao doka bongo nikawa namfatilia insta na kwa watu! Then i made my money! My clean money! And it waa time foe me to go for this lady! Nilipanga kama kumlipa fadhila cause i know Ghost can be inhuman! Na nilimpenda pia!

Nikaanza kumtongoza kanisani kwao! Akaniambia ana mtu! Nikamwambia its okay! Tuwe marafiki! Namchatisha 24/7! Nikamkaribisha ofisini kwangu akiona Standard chattered bank! Ofisi kubwa! Watu wananiita boss! Afu mimi tunalingana!

Akaanza kujaa taratibu! Kila siku jioni namtoa dinner, sehemu elekezi, tulivu we just talk! She talks i listen! Anajimalizaaa! Mimi sina cha kusema ndugu msomaji! Ananiambia tell me about you! Namwambia nikikwambia ukweli hutonipenda tenaa! Nikikwambia uongo utanilaumu!

Ananishawishi ukweli gani? Mbona unanitisha? Namwambia nipende hivo hivo! Anakuwa na mashaka badae anajitoa shaka mwenyewe. Tunaongeaaa! Vikamshinda vya kuongea! Siku hio akaniambia tuchukue chumba! Mwenyewe! Nikasema okay! Akachukua chumba nikaenda mpaka romance zikaanza! Nika atopisha show! Na kumwambia sitaki kukuchezea baby!

Nilikuwa simpi mda wa kuchat na ghost! Na m keep busy baby wangu! Then i found out she was creeping with ghost! Wanalala wote! Nikamuuliza kiupole kabisaa! Why? Akanitetea mimi silali nae so its purely sexual! Nikaanza kulala nae! In no time Ghost waa blocked!

Navokaa nae nikaamua sasa namuoa! Official! I waa ready to propose! I waa happy! Very happy! Namspoli baby bae! Nimetoka kumnunulia new ride! Alifurahi sanaa! Pete niliagiza Russia! Jiwe jiwe kweli! Nikataka ku propose siku ya birhday ya mwanae! Watu walikuwa wengi mnooo!

Ghafla akaja Hans! Hans namjua ila yeye hanijui! Akanipa mkono ile nipe tano Suti ikapanda tatooo ikaonekana ya mkono! Hans akastukaa sana kuiona ile tatotooakasema KR??? kama kuniuliza! Nikaagusha suti na kumwambia umenifananisha! Ndo kisa cha kuondoka fasta fasta!

Nikawahi kwa Cookie na kumwambia sister nisaidie! Hans kanijua! Alivokuwa huku kwenye videocall hii tatoo ya dragon anaijua! Na mimi kanijua! Akasema dogo usiwaze, mimi Hans nammudu! Akampigia simu akaja! Akampangaaa! Akasema mimi siwezi kusema wala sijamwambia hata Ghost cauae Kyle is happy! And i wanther to be happy! Kama mdogo wako anamfanya wawe happy mimi sitoingilia! Nika save hio moja! Nikasema hii tatoo nitaipasi!

Siku nyingineLinda akaniona akaaema Ankoo i like your tatoo! Nikawaza niipasi tu haina namna! Nikaanza kuona wanga mwingi, nikaproppose tukiwa wawili tu! She said yes!

Nikajiandaa kwenda kwao kabisaa! Nikatoe mahari nioe jumla! Linda akamwambia Ghost kaona tatoo yangu, Ghost kamchota chota kamchorea! Ghost akachokonoa kwe ye team yake nani ana tatoo kama ile! Wakajumlisha wakatoa nikatajwa KR! Kaka yake Cookie! Hapo akawa kanipata!

Kafukunyua online nishafungwa, nishaoa nime divorse na nina watoto wa 2 huko China, nishauza unga, nishakuwa teja, nishafanya kila kitu kibaya! File kamili! Akalipeleka kwa Hans! Hans akamwambia mimi najua kitambo! Akanipigia simu Ghost taarifa zote anazo! Mda wowote bomu linalipuka!

Nikamfata Kyle Nikamuuliza Kyle unanipenda? Akasema yes! Nikamwambia tufunge ndoa sasa hivi! Anasema why the rush? Namwambia please kama unanipenda tufunge ndoa sasa hivi! Akasema mbona ghfla kuna nini? Namwambia promise me utanipenda hata ukijua niliokuwa nakwambia ukiyajua hutonipenda! Anauliza kwani kuna kitu natakiwa kujua mbona sielewi? Namwambia Kyle i was nice to you! I love you, tuondoke nchini sasa hivi! Niamini mimi! Twende Dubai!

Zikaingia message! Nikawa nasikilizia! Nikasikia stay far away from me and my daughter! Nikajua tu bomu lishalipuka! Alibadilika sura akaondoka akaniacha!

ITAENDELEA
 
Pala TU KY haina jinsi ndugu msomaji! Ukufunzi WANGU kwenye ufanani, ule ukaliii WANGU ni kuwala nyieeee viboga non stop! Mnakuja hapa kuhakikisha nawala kiboga CHA akili au mawazo

Mimi nimeshaacha kukupredict toka ulivyomdedisha Linda.

Natamani kujua adventures za Sam baada ya kuparamia bus akiwa hana karatasi.
 
Duuuu wewe Lara1 mlokole kapewa mke anaejiweza meneja was bank na pledge ya 1 Bil!
Sasa ngoja tutaona mbeleni ikiwa single mother atatoa hiyo pesa
Tuletee Sam tuone alipokimbilia alooo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom