Weekend story! BEN 10

Mungu akushushie mkono wake wa baraka na asikie maombi yako!!

Ila fanya kuniunganisha na Ghost nikamalizane naye nijue yaliyomo yamo kweli 😉 😉 😉
Hiyo aya ya mwisho umenifurahishaa!!! Kwamba afanye kukuunganisha Ghost hahahaha

Hata mm huyo ghost namuangalia kwa jicho la tatu..... Hamna jins vile ni story
 
Mpendwa hayo maombi yanafanyikia wapi nije nikuunge mkono!!.
Palipo wawili wamepatana kuomba Yesu yupo katikati yao I will come there.
 
Kila la kheri katika maombi ni jambo jema sana nimekuelewa sana
 
Hahaa lara kweli mngese " ... daahh ndio nini kutudindisha kiasi hiki halafu unakatisha utamu " ..... Any way umeeleweka " Maisha yaendelee
 
Ndugu fanani haiwezekani..twende tukasali wote tuu hakuna namnaa
 
Najua tu ni maombi ya colle
,maana mimi pia nimeshindwa kusoma story yako huku mwishoni
 
Najua tu ni maombi ya colle
,maana mimi pia nimeshindwa kusoma story yako huku mwishoni
Huwezi amini Colle kaninyima maombi yake! Mi kumtetemekea mwanadamu kama Mungu msaidizi siwezagi! Nisha mu unfollow! We tangu lini maombi yakawa siri mpaka ujiandikishe na hapo aringe ringe weeee mpaka basi! Mi vilinishinda kiukweli
 
Hahah dm me your email nifoward PM-1,pole mimi nilimuomba nikakaa miezi nikaona siku najibiwa na kutumiwa sala, sijajua ni yupo busy sana au nini
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…