Weekend story! BEN 10

Ok,sawa.
 
Too bad umesema hutaki hela za wanawake wenzio
Ningekutumia kilo shost
But I respect your decisions
Tatizo wanaume wengi jf ni marioo tu
Ukiwategemea imekula kwako
Sorry to say that but it's the truth
Wengi wadangaji;team njaanjaa, ukiwapapasa watoka na unga
They broke as hell, trust me
 
Hahaa sio kwa kutunanga huku duh !!
 

UNANITEGAAA! Shoga nashukuru kwa moyo wako! Kufeli maisha kuna stages na sijafika ya kuwalieni wanawake wenzangu pesa zenu! Ukishaanza kuchuna wanawake wenzio yani baaas tena!

Afu wanaume wa humu EMPTY SET kabisaa! Mimi sio kwamba nina shida kihivooo nashindwa kunywa Amarula! Tatizo ili niandike mambo mazuri lazima ninywe! Kwa siku 32,000 na nisha jicommit kuwaletea story! Kwa mwezi ni 900,000 ya unywaji tu hio jamani! Si naishi apartment kabisaa! Mnionee imani! Ndo maana kila mtu akitoa siku moja sio kesi si mnafaidi wengi! Ila asiwe mwanamke!

Wanaume fanyeni kukasirika basi
 
Nimecheka ka fala yaan dah
 
Kwani hii story hua unawaletea wanaume tu??
Usipoleta ni wanaume tu ndo wanakosa utamu??
Samahani but am just curious tu
 
Hahaha unatafuta fita
 
Hahahahaha huyu new mama Mchungaji ni k nyoko
 
NILIKUWA NA HANGOVER NAONA SASA INASHA ULIVYOTUFANYA WALAHI NI KINYUME NA.............................UMEFUFUKIA WAPI WEWE MTOTO WA KIKE/
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…