Weekend story! BEN 10

Kumbe mambo ni huku thanx mama la mama
 
AH KULAAALECK WALLAHI!
Lindaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Kaaama nakuona unavyokata tequila hongkong!
Mshenzi wewe kuniliza mimi kumbe umempaka paka mtu lipstick zako!

AHAHHHAHAHAHA AF KUNA MTU ANASEMA lara 1 alipwe na bongo movie!
weeeeeeeeeeeeeeeeeh!
HAKUNAAA, acha hizi hizi huruma anazotufanyia za amarula!
HAKUNA MTU WA KUNUNUA HII PLOT!
not HERE!
 
hee bi mkubwa una kelele ka vuvuzela
Sipat picha ukiwepo home,unasikika wewe tu
 
Pole sam sijui kwa nn nimeanza kukuonea huruma ghafla tu nakuwa upande wako sijui sababu ya Mary amenishawishi nimependa jina la Mary tu
 
Safiiii, goes around comes back around.... Mjeda na yeye atakomeshwa asidhani mambo yanaenda kirahisi tu jasho la watu hilo.

Linda will be back to take her throne, yeeeeeeeeep.
 

Mary, Mnara, choice ya engineer, kishindo kile ni setup ya Linda.

Na anachukua bar yake.
 
Yani linda anajiuaje sasa?
sio rahisi hivyo!
 
Mary, Mnara, choice ya engineer, kishindo kile ni setup ya Linda.

Na anachukua bar yake.
manake we vuuup mnara!
yani mnara huo wa babeli au? BAR na mi nara wapi na wapi?
ANALIJUA LIsam mazafankuro kabisa na wenye hela wazuri wazuri, syeenzi!
 
Kama umenote mwishoni hapo kuna mahali inaonyesha Sam kapoteza Bar, maana yake Linda kachukua mzigo.
Amesema alimpa asilimia 60 za hisa sasa zinazobaki si zinakuwa zake Sam au sijaelewa
 
Amesema alimpa asilimia 60 za hisa sasa zinazobaki si zinakuwa zake Sam au sijaelewa

"Nikiwa ndani alikuja mjeda kuniona, akasema nimekuja kukuaga! Sitaki tenaaa tujuane! Una gundu! Kila mwanamke wako ana kufa vifo vya kutatanisha ushaingia kwenye makafara ya biashara sitaki kabisaa! Na bar naichukua mimi, Linda alinipa 60% ya shares zake zote! Wewe huku hutoki leo wala kesho! Dunia duara! Niliumia sanaa nikaamini kisicho riziki hakiliki!"

Mjeda alipewa 60% na Linda, then most probably Linda kuna mahali kakaa na mjeda wamfanyie Sam.
Hizo za Sam ndo kama zinabebwa nazo, BTW kuna mahali popote ambapo Sam anaonesha umiliki wa pekee wa hiyo Bar? Au wamechangia na Linda bado?

All in all, Linda is claiming her territory.
 
Na mimi ndicho nilichosema boss bado sioni tofauti au nieleweshe labda
 
Na mimi ndicho nilichosema boss bado sioni tofauti au nieleweshe labda

Sure, nimepitia upya naona kama sijapaelewa pia.

Labda tujaribu kurudi nyuma tuangalie ownership ikoje toka mwanzo kati ya Linda na Sam, je Sam aliichukua legally au ni vile Linda hakuwepo!

Hakuna uwezekano wa framing?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…