Mie mwenyewe sijaelewa kitu!Wadu Tafsiri please maana Nimesoma sijaambulia kitu!
Asante miss lawyer..Traitor wa Traitor!
Mi sio kwamba ni mtu mbaya LA hashaaa! MI ni mtu Safiii Sana'a. Mkija kunijua Ila nimefanyiwa mambo Mabaya Sana'a na Linda, mnooo mnooo!
Linda nilimjua kazini briefly Alivokuja kufanya kazi kwenye firm yetu. Hakukaa Sanaa aliacha Mwenyewe wakati harakati za kufukuzwa zimepamba moto.
Mda mfupi aliokaa alileta mtafaruku mkubwa mnoo. Sana Sana. Maana aliifarakanisha Ofisi vipande vipande. Sio wateja sio wamiliki sio SISI ma lawyers.
Alivokuja TU, tulijua ni bad news. Alikuwa NDO KWANZA kamaliza bar exams na kuuziana pass. Anafanya interview, Jioni Hio Hio client mmoja mzito Sana Akapita simu kuuliza kachukuliwa! Akaambiwa mchujo unaendelea, akatoa Angalizo Kama atatemwa ANA hamashiki law firm. Boss Akaniambia Huyu NDO anafaa ananiletea Biashara. Akamuajiri kitengo CHA acquisition asijue kajinyonga.
Kweli akawa ANA acquire, Akamuulizia acquire KWANZA mwarabu ANA Malori na mabinti bus Kama YOTE HUKO Tabora. ANA jezi Kama 20. Boss akafurahi. Mwarabu Anataka kesi zote afanye Linda. Linda Hana experience. Akaelezewa akasema yeye anachojali Linda awe anasimama mahakamani TU basi. Ashinde asishinde haijalishi. Boss akavumilia Hio Akamuajiri karibu mgeni. Kumbe NDO style yake.
Analeta wateja na anawaaimamia Mwenyewe. KUSHINDA kesi chache akasema afanywe partner sababu anaingiza PESA NYINGI Sana'a. Wakamfanya partner kishingo Upande. TABU ikawa pale pale ndugu msomaji.
Unakuta Ofisi INA kesi Kama 100 za Linda Ila Sasa yeye NDO yeye anafanya Nani aende na asiende BAAASI TU mashetani yatavomtuma. Aliwahi kumkatalia mdada mmoja kuendesha kesi ya Mteja wake kisa unene. Alimpa Mwezi apungue lasivo kesi ataikosa. Hakupungua na alimtimua wima wima. It as sad and pityful but she had the entire lawfirm by the balls.
Mambo mengi sana alifanya yasiyo ya kibinadamu, she ruined many lives. Mpaka akaja kuacha na kufungua ya kwake ambayo yuko nayo japo ana miaka hajaenda mahakamani. Hio law firms lazima na stritcly uwe unavaa size Medium au pungufu. Code of conduct yao ni dress to kill. Anakwambia it has to mean something for them to work here kuanzia appearance. Huwezi kuwa na matumbo matatu afu unafanya kazi hapa. Appearance is everything in this game. Lawfirm kama Modeling agency. Uzuri ni kigezo cha interview.
Ukienda ofisini kwake kama Vogue, maana mionekano on point, mavazi on point, jinsi wanavo jiorganise nako onpoint. Everything ni onpoint. Jinsi wanavo ji conduct ndo usiseme kabisaaa. Kama ulaya. Vingeleza kama vyotee. Kiukweli kwa kiasi flani hata mteja akiropokewa bei anaingia kingi. Maana kila kitu kinampanga mteja. She is expensive, super expensive.
Mimi nilianza kujuana nae kwenye law firm ile ya zamani. Na nilianza kujuana nae baada sasa ya kuwa bad news na i needed the money niksame sina jinsi. If you cant fight her join her. Nikaanza kujipendekeza kweli kweli. Njaa mbaya sanaaa. Mwanzo akawa ananipotezea, baadae akanigeuza informer wake nimwambie nini kinaendelea.
Katika u informer hapo ndo nilipomchukia kabisaaaa, kabisaa mpaka leo simtakiii kabisaa kabisaaa. Kabla kabisaaa mimi niliendaga bungeni dodoma, kwenye mambo ya Forever living, nikakutana na mkaka mmoja wa huko bungeni pesa mingi. Akaniomba namba, nikamwambia nimeolewa akasema hata mimi nimeoa. Nikamgea.
Akaja kunitafuta dar hapa, nikaenda kukutana si akanipima UKIMWI kwenye gari lake kimasihara masihara, nikakutwa negative, tukaenda kuchepuka usiku kuchaaa, kaisimamiaaaa, asubuhi kanigea 200,000. Akawa mdo hivo mtu wangu wa siku moja moja. Maana miyeyusho kishenziiii.
Siku Linda akasema twende tukale kitimoto, mimi nikakubali, tumeenda, kama kawaida yake yupo konkiii, kavaa minoo ya kufa mtu na chupi hajavaa ndani, tako ndembe ndembeee. Kaenda kukojoa, akaja akasema nimeombwa namba na yule kaka pale. Hamaaaaad! Kumuangalia ndo mzee wa miyeyushooo. Nilisinyaaaa sana.Linda anasema yule ndo atakaelipa hizi bili hapa leo.
Bili imeletwa akasema mpelekee yule kaka kule. Akapelekewa akalipa. Nikamwambia yule kaka namjua, miyeyusho kishenziii. Akasema tulia weee nimpopoe vuzi zote, yeye si ana uchu subiriii. Kaka akaja mezani kusalimia, Mi nikainama. Wakamwambia naumwa kichwa. Akakomaa niinue suraa, anisalimie tu, nikasema naumwa sanaa siwezi.
Linda akamuuliza unaniachaje sasa. Akatoa 20,000 Linda alimkata jicho kalii,akamwambia Mimi sio mwana chuo. Ya nini hio? Akamwambia mafuta na gari. Akamuonesha ufunguo wa mercedence benz akamwambia unaona gari hio nayosukuma, inakunywa wese, jini mafutaa. Toa pesa ya maana, atleast full tank. Akajikagua kagua akasema sina, hapa cash nakutumia kwa simu. Akamwambia na utume kwelii, usipotuma usijisumbue kunipigia kabisaaa. Mimi ni high maintainance. Yule jibaba akajitia kujipangusa makalio pale akasepaaaa.
Linda akaniambia kuwa na amani, huyu sio type zangu siwezi kutembea nae, akituma hio pesa nampa block moja matata sanaaa. Nikamuonaaa mtu kati ya watu kweli kweli. Bwana bwana kumbe yule bwana akatuma 500,000 kumkomoa tu, asinichomekee mimi, kamkumbusha mpaka kanikumbuka, akasema mi dada yake so hawezi kumpa ungese tu. Yule baba alinitukanaa mpaka akatishia kuja kwa mume wangu kunifanyizia.
Kilichoniokoa shoga angu alinipeleka kwa mtaalamu, akafanya mambo ya shirki kumsahaulisha kabisaa kuhusu mimi, mpaka kesho hakumbuki kuja kwa mume. Hapo ndo nilipojua Linda ni mshenziiii. Ila sikukoma ushoga nae. Akaja kutaka niamie kwenye law firm yake, nikagoma, si namjua nyanyasaji sanaaa. Nimegoma ikapita kama wiki 3 nikasimamishwa kazi. Nikaachishwa. Ikabidi nikubali kufanya nae kazi.
Msidhanie mimi ndo ananihurumia, na mimi natakiwa niwe size Small na umri huu. Sasa mimi ndo namfanyia kila kituuu, yeye anastarehe tu. Nasimamia kila kitu. Na kuendeshwa tabu iko pale pale. Huku na huku nikaja kugundua yeye ndo alimshinikiza boss aniachishe kwa kumwambia namsumbua kumuomba kazi, sijui boss kafilisika, yaani fitina bin fitnaaa. Niliumia sanaaa rohooo.
Kuna kipindi ndoa yangu iliyumbaaa sanaa. Kila nikifanya ushenziii lazima yaani lazima mume wangu aujue. Niliumiza sanaa kichwa inakuwajee. Maana kuna siku nilienda kuchukua kama m 3 kwa danga langu la Standard chattered, nimefika tu homee, mume ana shida ya M 3 kamiliii, na ananifosi ile ile kama ana uhakika ninazo bila shaka lolote. Ikabidi nimpoze hata na 1 m.
Siku nyingine nilienda mkoani kikazi nikawa na appointment ya kuuza mechi. Bwana alikuwa anapiga simu kila saa, kunihusia umuhimu wa kujitunza kwenye ndoaaa. Niliuza mechi hivo hivo kishingo upande. Nikanunua kakiwanja changu kwa siri, bwana wiki nzima anaongelea jinsi gani usiri wa mali unavo vunja ndoa. Kama anajuaaa kwa uhakika nimenunua kiwanja ana ni torment. Ikabidi tu nikiseme hiko kiwanja. Sikujuaga how come. Yes Linda anajua haya yote but hana mawasiliano na mume na uhakia asilimia 300.
Baadae mume akawa na scandal la kuzaa nje. Ndo iliyumba vibaya vibayaaa. Najiliza kwa Linda, namwambia matatizo yangu. Kumbe bwan kumbe huyo mwanamke alie zaa nae ni shoga ake mkubwaaa. Na mambo yangu alikuwa anamwambia, yule anamwambia bwana. Nikaja kumuuliza anachukulia poa tu. Nilitaka kuacha kazi, nikasema nikiacha kazi wanangu nitawafelisha , afu wacha nikae hapa hapa nimuue ndani kwa ndani. Kikulacho nipo ndani yake. Niliapa lazima na mimi nije kumfayia kitu kitakacho muuma maishani mwake sanaaa.
Najua kwa sasa kitu kinachotamaniwa na nafsi yake ni Sam, na mimi imekwa jukumu langu kuhakikisha hawapo pamoja. Kuna mda walikuwa wanachepuka, nilituma sms kwa Sam kwa namba ya kanjanja Linda ana UKIMWI na anakunywa dawa hapo unavomuona. Ikawasambaratisha kwa mda, mpaka Linda alivojipima mbele ya Sam kuthibitisha yupo gadooo, yupo safiii.
Kazi yangu ilikuwa kufatilia na Sam wana maendeleo gani, na kumwambia Kyle kiushariii tu kutibua mipango yao. Na naweza sema nimefanikiwa 90% Kuhakikisha Linda hampati Sam wala hapati furaha yoyote.
Juzi kusikia Kyle ana kiben 10 ilinivurugaaa mnoo. Sanaa, sanaaa. Mpaka mda huu ndugu msomaji sijui nafanya vipi kupangau hii.
ITAENDELEA USIKU HUU HUU
WoiyoooooTraitor wa Traitor!

Traitor wa Traitor!

Vibonge tuna shidaTraitor wa Traitor!

HahahaMie mwenyewe sijaelewa kitu!
HamuBora umerudi bwana
Mm napenda aga mabonge et, kama weweVibonge tuna shida
Kikulacho kinguoni mwako ushoga wa mjini huo hayo mambo yapo sana tu shoga ako anakuzunguka mfyuuuuu
Nikusaidieje sasa mkuuMm napenda aga mabonge et, kama wewe
Nipende sasa ulipize kisasi!Nikusaidieje sasa mkuu
Mimi naitwa amu jina laini laini la kipwani wewe unaniita hamu, lazima utakuwa mkurya tu.Hamu
Lafudhi yakipemba tuuMimi naitwa amu jina laini laini la kipwani wewe unaniita hamu, lazima utakuwa mkurya tu.