The traitor!
Hivi wasomaji mshawahi kutokea unampenda bwana wa shoga ako. Sio makusudi au vipi imetokea tu, automatically, of all men in this entire world, wazungu wachina, warabu, wahindi unampenda bwana wa shoga ako. Na unampenda kweli kweli husikii wala huoni. Umeenda mpaka kwenye maombi hakuna kilichopoa. Ukimuona ni mwendo wa nyegezi mwanzo mwenga.
Sasa huyo mtu si mwingine ni mimi. Msidhani labda nina uhaba wa mabwana, au nina umasiki wa wanaume, walaaaa, kabisaaa. Au mkajua siwezi kutongoza mimi ndo KONKI, KONKI, KONKI Mistress kwenye anga hizo. Nishatongoza matajiri mpaka maskini. Nikimtaka bwana namtongoza tu, kwani shingi ngapi. Kama anazo namchuna, kama hana namuhonga. Sipendagi kujibana.
Naweza kusema hiki ni kipaji kama vipaji vingine, its just the way i am, ni kama Bobmarley na Gitta, Beethoven na kinanda, alivokiona tu keys zikamjia kichwani, Tiger woods na Gold, au Serena na kitenesi. Na mimi nikikutana na mabwana naserereka tu. Wanawake mpaka wanakuwa depressed sio mimi. Kipaji hiki kimenipa maisha mazuri mnooo mnooo.
Katika maisha yangu ni bwana mmoja tu ndo ananisumbua kichwa, na ndo nimeshindwa kumtongoza kabisaaa. Nimesha feli na huo ndo ukweli ndugu wasomaji. Na ndo ambae nashindwa kumpanga wala kumjaza, kwake na mimi nakuwa zoba tu, kama wanawake wenzangu. Too bad ni bwana wa shoga angu. Wa mda, tena mdaaa sana. Oraaaaa.
Kilichonivutia kwa huyu bwana ni hamnaaa. Kiukweli ni hamnaaa. Hana pesaa, hana sura, hana akili, hana lolote zaidi ya zigo lake la kende basi. I am not being dramatic here, just stating the facts. Shoga angu Kyle ndo ananinyima usingizi. Siombei ila nikisikia sku katangulia mbele za haki, sitegemei kulia sanaa, maana kufa kufaana.
Story ya huyu bwana ni ya kusikitisha sanaa, mkiijua ndo mtazidi kunihurumia ndugu wasomaji. Huyu bwana mara ya kwanza nilikutana nae Botique akiwa na Kyle. By then tulikuwa mid 20s hivi, siwajui hawanijui. Mi ndo nilianza kufika hio botique. Then wakaja wao na Kyle. Bwana kwa muonekano ni Chaliii wa Chuga kabisaa. He has that look, crooked look if you know what i mean, wanazokuwa nazo machalii wa Chuga.
Like i said he is very palin, black, ameoza meno. sio mrefu wala mfupi, huwezi kumuangalia mara 3. Na mpaka anaingia hakunistuaaa kabisaaa. Nehi nehi nehi! Kyle is also plain, very palin nae ni Manzi wa chugga maana kavaa raba, na jeans na tshirt ndani ya bongo, na ana sura ya kichaga kabisaa. Shape kawaida sana, mnene mnene, chubby chubby, very plain, very kawaida. Kama tako analo sababu ni mnene bonge if you know what i mean.
Kuingia kwao hakukunistua, niliona other palin people in a plain world. Ukizingatia mimi nina Body to kill for. Vundele wenyewe wa congo wanasema la kishkaji kama kim K,sina excess fat hata nukta. I eat clean, i exercise, mwili ndo ofisi. Dawa za edmark, forever nakunywa rootinery, singoji niwe bonge ndo nijipunguze no way. Najipunguza rootinery. Nikivua nguo balaa. Sura kama msomaliii. Sijisifii ila mimi ni mzuriii. Show stopper. Nikisema niende hollywood lazima niwe star. Ila kwanini nifanye kazi wakati naweza kuishi buree?
Hawa viumbe wa Lema kutoka Chugga wakawa wamengia, bonge anatafuta jumsuit. Nikashtukaaa! Na jimwili lile khaaaaaaaaaaaa! Si anataka kutisha watu jamani. Si atakuwa kama dubwana. Wakamtolea jumpsuit. Kama nilivodhani akawakama dubwana kweli, minyama kila sehemu ya mwili imetunaaa. Jamani kuna watu hawajihurumiii.
What shook me was the guy was so all over the girl. Kama Bonny and Clyde. Botique ya kike kaingia mpaka pakujaribishia, so romantic, anamuangalia anavojaribu. Hamuwezi amini akaisifia ile jumsuit. Like Baby you look waoh! Usijaribu ingine. Nikasema huyu anamchuuza mwenzie bei ya jumla. Akajarabu kigauni, nacho ka dubwana vile vile. Anamsifia tena baby you look waoh! Sasa ndo ki Arusha kama chote wakiwa wana ongeeee wanaongea kweliii.
Nikamuuliza muuzaji hio jumpsuit haina size yangu? Akasema ipo. Nikaivaa kutibua tu vuziii. Nimuoneshe yule Chalii wa Chugga what a good body is, what waoh is. Basi watu wakaanza kusifia waoh waoh, wale wa Arusha hawana hata mda. Hamuwezi amini yule bwana nimempitia mbele yake wala hakuni notice. Kabisaaa. Nikasema hii sasa mwana Knyoko. Nikaomba kiminooo kifupiiii. Ndani na bikini tu. Nikakivaa nampitia pitia tu yule bwana. Chengaaa. Dishi linayumba.
Bonge akatoka akasema naenda kwenye viatu, bwana akasema poa mi nakomaaa nae na nini? Nakomaa nae beii we kacheki viatu. Bado napita na kile kiminiii msinichukulie poa. Akalipia pale, anakomaa apunguziwe bei, hakupunguziwa, akalipia tu pesa mbuzi tu kalipia zote 2, maana bibie kazipenda zote kaambiwa chukua zote. Bonge karudi wakasepa zao, wanapendana, wameshikana viuno. wanapendana.
Nikaenda kujiangalia kwenye kioo uchi wa mnyama, nina kasorooo gani mimi,mabwana wananitumia tuuu, bonge kama yule anapedwa na yule bwana kinyoko nyokole. Niliagiza Pizza extra large nikaila yoote. Ikapita wiki tukio bado ninalo akilini. Nikarudi tena Sinza kwenye botique ile ile. Mwenye botic ananiambia Linda mshenziii wewe ukata kumpora manzi wa chugga bwana mchana kweupe kisaa. Hahahaaaa! Nikamwambia kumbe uliiona ile. Hahahaaaa! Akaniuliza yule bwana atakupa nini bahili hatariii.
Nikamuuliza kumbe unawajua eeeh! Akasema ndiwo ni wateja zangu, na zao ndo hizo hizo yule dada namjua anaitwa Kyle ananunuliwaga sana nguo hapa. Mpaka nachat nae. Nikamuuliza unaweza kumuita hapa na akaja. Akasema mmmh sijawahi sasa namuitia nini kwa mfano? Unamwambia una nguo mpya aje aione. Akanisoma kiutu uzima, asipokuja na bwana wake je? We muitee nikamjaza. Akamtext. Akasema nitapita kesho kutwa.
Mwenye duka sahngingi tu la mjini, anasema yule bwana hata mie nimemuelewa inaonekana najua kukazaa balaaa. Chali wa Chugaa yule akisimmia, inakuwa kama msumari na nyundo nikugongeee. Wameendena na Kyle wale natamanigi wanipe hata chabooo. Msomaji sikuwaza huko kabisaa ila sababu hili shangingi limezungumza nikahamia huko. Nikamsisitiza akija niite.
Hakuniita. Ukapita mwezi akaja kunipigia watu wako wako hapa. Nilitoka mbio hatariii, nikaunga msafara. Kufika, nikamkuta bonge peke yake yule chalii yake hakuwepoo. Akanitambulisha huyu anaitwa Kyle, huyu Linda. Nyie wote wa Arusha mfahamiane. Mie wa Arusha toka lini? Akanimnyia jicho. Tuazungumza pale na kubadilishana namba.
Akaja kunipigia twende wote kuna party ya kina Joe Makini, machalii wote wa Chugga watakuwepo na nini. Nikaibukaa, manzi wa Chugga. Nikawakuta na yule bwana, akanitambulisha anaitwa Sam. Nikawa na hangout nao si wenyeji wangu, naona Kyle anatoa pesa tuuu. Nikaanza kutoa mimi kumsaidia. Sam kavuu balaa.
Nikaja kuwaalika double date na mtu wangu wa wakati huo,date ilitumbukia nyongooo. Wangese wanapendana mpaka wanakeraaaa. Sam kamtawala Kyle mpaka ina boaaa. Simu za Kyle mpaka za mama ake Sam anapokea. Hivo yani. Pesa kwenye wallet ya Kyle Sam anachukua tu. Anafungua anachukua. Mpaka bwana wangu akawa ananikanyaga ajeee hawa?
Sam anajua ku dance, anamwambia Kyle wa dance anamwambia unajua mi sijui ku dance. Kyle akasema cheza na Linda. Sam akaomba ruhusa kwa sehemela, shemela akasema cheza nae tu. Mngese anajua kudance. He has this aroma very sexy, his moves were so sexy. Huku nacheza huku nyege zimenibana. Nikatamani tukapige hata cha fastaaa. Afu sio kawaida yangu kushoboka kingese namna hii. Sio kawaida yangu kabisaa.
Nikamwambia Sam kama nimekuelewa hivi, au we mwenzangu hujanielewa. Akapotezea tu mambo haya sio kuongea mda huu nitakupigia simu mwenyewe we tulia. Nikajua mtoto wa kiume hasemiii tushafikia pazuriii. Tukarudi. Namkanyaga chini ya meza. Ilikuwa balaa. Kyle akaniomba nimsindikize chooni. Huko chooni akanimbia bwana wangu kampa busness card anamtaka. Khaaaaaaaaaaaaa! Paleaseeeeeeeeeee! Kwa mwili ule wa kiroba ua mwili gani labda? Shooo nikaona kadi mkononi mwake. Nikasema labda kamuomba ananipanga. Ananiambia sio mtu mzurii kabisaa, macho juu juu.
Tumerudi mezani nikmkurupua tukaaga. Kwenye gari nikamtupia kadi, akasema Ooooh Shit! Sikujua you are friends FRIENDS. Damn! Kumbe kweli kamtaka. Nilimchoma na kiatu hatonisahau, nchi sita kisigino mchongoko. Nimefika home, Kyle ana nitext, Sam anasema umemtongoza, mi wananume nawajua, kakutongoza yeye anajiwahi just incase nikijua. Kwa uzuri huo aaaah subutuuuu wewe umtongoze yeye. Tusamehe wanaume wadhaifu. Nikamjibu Kyle wewe dada yangu sahivi sio rafiki tena.
Mambo mengi sanaaa yaliendelea baina ya sisi watatu ila la kufurahisha ni juzi hapa Kyle kutaka kutongoza Ki Ben 10. Naweza sema it was a decade worth happy news. Nilifurahi. Na nilijiapisha kumpa support yoteeee katika huko kuchepuka kwake. Yaani huyo Hans ikibidi nikae nae mezani tuyajenge nitakaa nae, kwani shingi ngapi? Nitam coach step kwa step.
Just i was about kukataa tamaa ya kuolewa na Sam mara paaaaap Mbingu zinanifungulia milango yake ya chuma kireja reja. Nitahakikisha Kyle anagongwa na Ben 10 na Sam anashuhudia hilo swala kwa ghara yoyote ile.
ITAENDELEA USIKU HUU HUU