Wangemkuta kitandani keshasaula hana habari.Ki
Kieleweke kwa hio aingie kwenye 3 Some!
Ghost na Sam konkii sanaWangemkuta kitandani keshasaula hana habari.
Ilibaki kidogo niwe team Sam, ila Sam akaendekeza ufala. Nasubiri episode ya mjeda, najua Sam ana karma yake inamsubiri.
Acha niwe team Hans japo nae utoto mwingi.
Kazi kwako kutukaanga!
The real ghost, napenda mawenge ya Tony!Nakumbuka Power..Ghost na Angela Valdez lol
We are tugezaWangemkuta kitandani keshasaula hana habari.
Ilibaki kidogo niwe team Sam, ila Sam akaendekeza ufala. Nasubiri episode ya mjeda, najua Sam ana karma yake inamsubiri.
Acha niwe team Hans japo nae utoto mwingi.
Kazi kwako kutukaanga!
Kafa kizembe saanaLinda kaniuma dah.. Alikubalije kuloose game mapema ivo
This one is my first.Sijawahi kosa story za lara mimi
Si ashatajwa ni shoga ake wa mzumbe auIna maana ni mimi peke yangu ndo nataka kumfahamu mjeda aliempiga Linda stuli?
Si ashatajwa ni shoga ake wa mzumbe au