Dada Mkubwa!
Mimi Kama Moza all I want is for Kyle to be happy. Kama dada WA hiari nakapenda Sana. Ni mtu Safiii Sana'a. Hana makuu KABISAA.
Historia yangu haini qualify kutoa ushauri kwa Kyle WALA mtu YOYOTE kuhusu mahusiano. MAANA Nilifeli na huo NDO ukweli. Mara ya KWANZA nikasema bahati mbaya na ya pili je nitasingizia nini.?
Nimeishi na wanaume WA 2, nimezaa watoto wa 2, mmoja kaachwa na marehemu mdogo WANGU na kote nimeambulia nyuzi za Leba TU.
Kikubwa nilikosea mahesabu. KWANZA niloshobokea Ndoa baada TU ya kummaliza chuo. Ile kwenda na wakati ule. Nikamkokota mwanafunzi mwenzangu tukazaa fastaaaa na Kuanza kuishi wote kazi Hakuna. Kupendana TU tulipendana Sana.
Baadae mwenzangu kupata kazi, ananiona mzigo. Anarudi saa 5, mtu na mtoto wa mwaka anaacha matumizi elfu 3. Nikamfuma ANA mtongoza mdada ofisini anamwambia Sijao. Anataka kumpelekea MA shopping malls. Nilienda mpaka mall kuuliza nguo BEI GANI? Nilivunjika moyo nikaapa lazima niwe na Duka Mall.
Mwanaume akazidi kuhama kiakili nyumbani, hata mtoto hamashiki tena, Mimi NDO hanigusi hanigusiii kabisaaa. Hali, anaanza wiki harudiii. Nikaamua binafsi TU hapa DEAL DONE. Wala sikumuaga nikachukua VITU nilirudi nyumbani.
Ukaanza Midomo Kiko wapi, si huyo karudishwa. Mume mchezooo. Nilitafuta kazi, nalala na maboss HR si CHINI ya Watano bank mpaka nikaajiriwa teller TU. Sasa Hapo na mtoto akili ishanikaa SAWA dirisha lilinikoma. Ni kujiseksisha kwa wateja matajiri mpaka BASI. Wakinielewa Naenda kutumika Ila KWA akili zangu.
Yule Bwana anaanza kunisumbua Anataka mtoto wake. Aaahhh subutuuuu! Nikamwambia vifanyio mnavo zaeni mwingine. Huyu Huna maisha ya kumpa boys wewe.
Nitachukua mkopo na kurenovate KWANZA NYUMBA yako urithi ikawa standard. Mwanangu miaka MI 3, Nitaanza kumsakia shule, nikaipenda DIS Ada Kama M 7. Niagara LAKI 8. Nikaona nishafeli. Kujiuza uza kote nilipata ya term moja, nikamuanzisha KWANZA. Elimu Bora Ilikuwa moja wapo, Ila Kumkomesha mzazi mwenzangu ikawa part 2. Na alikoma sio kitoto. Kila akiuliza Ada ANA RIP.
kuisaka Ada Nikaanza kuuza nguo nyumbani, mapochi Nakopesha, perfume, vikawa SI haba. Na Mshahara Mwanangu ana damshiii Kama kawaida.
Branch manager akajichanganya ANA mkewe KABISAA. Ila nikaipenda nae SAWA sawia akanipandisha Nikaingia kwenye mikopo Mshahara ukapanda, na bonus juu, nilikopeshaa vyote msinitanie. Tukazaa kushindwana Anataka nimzalie.
Nikamwambia baba Ada million 7 Sizai tenaaa. Alinibembelza Sana nikagoma. Anaanza kutoka na mtu mwingine. Nikashukuru sikutaka Kala kwa KWELI.
Kwenye mikopo Huku na Huku nikakutana na mkaka wa makamo. Nikajua ANA mke. Kumbe Hana. Basi tukaelewana Nikamwambia na mtoto mmoja akasema kwako sio tatizo. Tukawa tuna date juu juu. Akaniambia nataka kuja nyumbani kwako nikutane na mwanao.
MI nikamkaribisha nyumbani, so nakuamini he is an average Joe TU. KWANZA home nilipatengeneza kibongo bongo dirisha za kuslide, gypsum, tiles, Vegae nje, msouth Aaahhh msomaji Mbona standard kabisaaa.
Alivokuja akawa anaangalia Sana'a Kama sijui yupo wapi, Moyoni Najipa big up kwamba Alikuwa ananichukulia POA. Basi NYUMBA za urithi ndugu Kama wote. Hakukaa Sana.
Namsindikiza akasema sijapenda unapoishi. Nikamwambia Mwenyewe sijapenda Ila Maisha. Akaniuliza Sasa unaishije na mwanao na watu wote wale.Nikamwambia wanetu SISI maskini wanalindwa na Mungu TU peke yake. We Unasema ndugu zake wale, shule kwenyewe anapelekwa na MZEE Ally Bajaji na kufatwa. Mungu yupooo.
Hatukuongea SANAAA. Kaondoka zake. KESHO kanifata ofisini akanikaribisha kwake. Akaniuliza njiani Mbona wewe hushoboki na Ndoa. Tuna date Mwezi huniulizi Kama nakuoa au vipi? Nikamwambia Bwana weeee Nina mtoto mwenzio NDO baba NDO mama. Nishajifelisha Kimaisha Siwezi kumfelisha Mwanangu.
Tukafika HUKO Masaki kwenye apartments babu kubwa. Ulinzi Kama wote. Wenzenu wanaishi SISI tuna survive. Kama hotelini.Nikasema Leo Moza mwisho WA umalaya nanyonywa damu. Maskini Ella WANGU.
Nikawa nimekaa mood Sina. Ananiita ananielekeza house tour. Nikawaza wanawake wenzangu wanabahati kuolewa na mabwana Kama Hawa, MI naishia kutumika TU. Daah!
Baadae akanikaribisha pombe, nikammiminia na yeye, akasema MI sinywiii. Khaa! Uko kwenye dose au? Akasema MI Muislamu situmii KABISAA. Nikamwambia unajua Muislamu, Abdallah lazima UWE Muislamu Ila vyombo vipi hutumii Unaweka kwako kiaje? Akasema NI. Nimekuwekea wewe. Kama situmii haimaanishi wewe usitumie. Nikitaka kusema situmii Ila nikasema hutaamini sio kwamba Jack Daniels blue label alioificha Mwenyewe MZEE baba Jack awe anajinywea peke yake. Nikajimiminia Nikaanza kunywa.
Akaenda uwani, nikamtilia kwenye soda yake. Sio kwamba simwamini no, KWANZA siogopi kufa, kwangu kufatilia kwenda kupumzika, naujua Sirudi tenaaa. Nilimuwekea twende SAWA, hawezi kunilewesha peke yangu kingese ngese. Anataka kunifanya nini?
Akarudi Akastuka soda imefloat. Kabadilika Unaweka nini humu. Nikachukua nikainywa Mwenyewe. Kuonesha TU sijaweka sumu. Akapoa kidogo.
Akauliza pombe sio? Nikamwambia Ndio Kuumwa kidogo na wewe. Twende SAWA. Akagoma haramu. Mtume kakataza. Nikamuuliza kulala na wanawake sio haramu? Aka smile!
Akanitega kwani we Moza hutaki kulala na Mimi? Be honest. Nikamwambia ningekua Sitaki nisingekuja hapa. Nimemuacha Mwanangu kalala bila Mimi. Lakini Kama hunywi silali na wewe.
Akasogea kwanini? Nikamwambia sababu mechi Itakuwa hafifu. We tunywe tufanyane moto ukatuhusu kikamilifu au sio kafiri mwenzangu. We uwake na Mimi niwake mambo yawe Mpoko Mpoko.
Anajisemesha kimahaba MI Sitaki Kunywa Ila nataka TULALE wote baby pombe sio mambo yangu. Nikakomaa MI mtu aisekunywa silali nae. Ikiisha chupa HII nasepaaa.
Akachukua glass, akamimina shots moja Anajisemesha Moza unanirudisha kwenye ulevi, it's been five years sijanywa ujue. Glass IPO mezani anatoa risala za mgeni RASMIIII. Nikachukua na kumnyweshaaa. Alifumba macho. Akainywa nusu.
Naaaam Nikamwambia Hapo Sasa SAWA baba. Nikatanua Miguu na skirt kimini tight nyeupeee. Ikaonekana. Akasema Kama tukaenda Motoni sio mbaya twende kwa style.
Akauliza Moza umelala na wanaume wangapi mpaka Leo? Nikamwambia ningekua sijazaa ningesema bikra, Ila sababu nimezaa sio mbaya nikasema mmoja.
Akatabasamu Hio inamaanisha WENGI. Nikasema Sijasema WENGI. Unanilisha maneno? Kwani Unaogopa na UKIMWI? akajibu maybe! Nikamwambia Kama uliniandalia via BASI condoms PIA utakuwa umeendaa.
Nimeenda KWELI, Ila sijui pombe, sijui wewe habibty nataka nipite kavu kavu. Sio kawaida yangu Ila nafsi NDO Inatamani hivo.
Nikabana Miguu KWANZA, Dullah, mwenzio na mtoto, baba ake mngese mmoja TU. Inamtosha mazuriii, mkarimu n all Ila njia ya kujipatisha mimba in order to keep a man ishakuwa kwangu. Vaa condom TU. Sina Kijiti, sondano WALA kidonge. Na calendar Sahivi Sina Bwana sifatilii.Ada million 7. Vaa baby nitakuvalisha Mimi Mwenyewe uta enjoy. Akawa ananiangalia machoni mdada. Akaniuliza Mbona huniulizi melala na wanawake wangapi? Nikamjibu ukimchunguza bata hutomla. LA msingi na secondary Leo unalala na Mimi. Akasema I like you girl.
Nikaona Leo nacheza na beki ya Kati aka defense MAANA hashambulii KABISAA anangoja kuletewa Mpira. Kulala na mabwana Mingi kujua mengi.
Itabidi Mimi niwe striker kwenda sambamba na beki WANGU. Nikamfata mzima mzima mpasuo nateseka non stop. Mabeki wako vizuri kwenye kupokea mipira. Akanidaka juu juu.
Nikavua KWANZA jezi za bank nisitie Najisi kitendea kazi changu.Nikataka kivyako tight akasema Kuanzia Hapo navua mwenyeweeee. Mmmmmmh!
Mwanaume anajua kuvua KWA ustadi huyu balaaa. Nilishaona Dullah kina kirefuuu. Kwa uvuaji uleee. Mmmmhhhhh! Ananitekenya Miguu. KWANZA mikono inavopapasa Kama mpiga gitaaa. Vibration zinanikumba TU.
Nilishindwa kuvumilia nikamuuliza Dullah we kabila GANI? Akaniuliza kwanini? Ushaona mechi utapoteza Eeeh? Mie mtu WA Tanga, WAJA Leo waondoka Leo Leo. Nikavuta Pumzi, Tanga kiboko.
Haifaiii KABISAA Namna HII unaweza kuwa inekuha kudanga ukajikuta unapitisha msamaha WA PESA JUMLA. Nikailaumu pombeee asilimia zote. Hapa napoteza mzimaaa.
Nikawaza how about I cheat. Itabidi niingie formation ya konki KONKI mastaaa. Nikaanza kumsifia Ili kumlegezaaa. Akaniwahi na kiss akanifanyia shsssshhh napenda ku concentrate Nikiwaacha KATIKA HII Tasnia.
Ndugu msomaji you should understand my frustrations I had nothing and absolutely nothing to offer kwenye HII relation apart from my body and expertise. Sasa na hivo PIA nipotezwe SI NDO nishafeli BASI.
Kwa Hali ilivokuwa nikakubali matokeo nishafeli. Nikaamua sio mbaya nikijienjoy. Kama nikionekana goi goi under standard potelea pote.
Nikaanza kumpa USHIRIKIANO anaotaka yeye Maestro. Yeye NDO naodha na Mie chombo anipeleke anvotaka.
Dullah NI hatariii, anafanya Yale Yale Ila KWA ustadi mkubwa. Roho YOTE IPO pale. Kiukweli sehemu zingine Naenda kapiga kazi Kama kazi zingine Ila pale MI NDO nikageuzwa kazi sio mfanya kazi.
Miananume mingine inakutumia KWELI kweliii. Nikune hapa, Shika huku, Shika kule, ninyonye Huku hata mfanyakazi wa nyumbani afadhali.shubhamitiiii! Unaweza hata kulinasa makofiii.
Sio Dullah! Yeye NDO Akaniuliza baby nikushike wapi, mine ugonjwa WANGU kiuno. Akanitomasaaa kiuno, anakiminya minya na kukimassgae kazingua zetu za bank hizi viuno tunaacha kwenye KITi. Mwanaume vidole virefuu, vigumu vya Kiume Kiukweliii na anajua kuvitumia. Mpaka unaweza vidole hivi vikienda sehemu zingine nitaviweza KWELI.
Sikujua Miguuu ugonjwa WANGU mpaka SIKU Hio. Yaani nililegea hoii kabisaaa. Nguvu ya kujigeuza sina. Ataenda kuzifata Sasa condom, Akaniambia nivalishe Sasa. Nguvu sina nawaambia wasomaji.
Hapo ashawaka, jicho jekunduuu, yaaani yaani angesema suuu aniulize nipite kavu ningemwambia pita TU baba kwani Kuna mlango?
Tukajitahidi tukavalishana analamika SIKU ingine nijiandae kavu kavu hatosikiliza lolote. Million 7 KITU GANI Bwana.
Mwanaume mstaarabu anakwambia baby niingize, sikujibu sio kusudi nguvu Sina, akiuliza tena kwa kubembeleza zaidi. Nikamwambia Mmmmhhhhh!
Hapo NDO nilipofeliiii nikajua na ndani atakua mkarimu hivo hivo. Weeee! Alinifirigisaaaa kisawa SAWA ile mpoko mpoko. Bandika bandua kanikunja kisses SAWA. Nilikojoa Mara kibaooo. Mpaka network ikakatika kwa Mda. Kuja karudishwa Huyu hapa nae NDO anamaliziaa. Nilijinyanyua kunogaaaa KWA TABU SANAAAAA. Yeye kulala fofooo.
Saa 10 nikamuaga Naenda, anangangania Naondoka vipi bilateral CHA asubuhi. Nikamwambia mtoto nawahi kumuandaa wengine watampeleka rough shule. Nikaapa. HATA 100 hakunipa mechi YOTE ile. Hata kuuliza gari INA mafuta. Nikasepa zangu, anyway nimefaidi hata alitaka tena nakuja na mafuta yangu Mwenyewe. Sio kwamba mechi ile.
Nimejiandaa, nikamuandaa dogo anapelekwa na babu yake WA Bajaji. Nikaenda bank, moja haikai mbili haisimami. Dullah ananiumiza kichwa.
ITAENDELEA JIONI