donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
HA! HA! HA!baada ya hapo unaenda kucheza video game
[emoji3] [emoji3]Aisee.... Wwngine hatujanywa chai bado mate yanatudondoka tu
Salute mkuuAsante
Yes, leo missions mbali mbali ambazo zilikua pending ndio siku yaku accomplish, kuna need for speed the run,watch dogs, sleeping dogs, na gta v. Hizi leo zitanikomabaada ya hapo unaenda kucheza video game
U got me singing.....hallelujahHallelujah
Shukran mkuuAsie fanaya kazi na asile naona unae kula unafanya kazi ndo maana unakula hongera kwa kufanya kazi
Pamoja mkuuShukran mkuu
Ok mkuu uwe na weekend njemaPamoja mkuu
Mkuu mbona umemuandama sana mwenzio kuhusu kuoa?Mkuu hujui kupika au mbona kila siku misosi ya hotelini...vuta mchuchu ndani
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
sijamuandama mkuu ni ushauri tuMkuu mbona umemuandama sana mwenzio kuhusu kuoa?
AmenOk mkuu uwe na weekend njema
Asa hapo kwenye chamua!Aisee.... Wwngine hatujanywa chai bado mate yanatudondoka tu