Hahaaaaa leo najisikia kuifurahia weekend,natokea usawa wa bunju naamini ntapita vituo vyote.
thanks uwe na weekend njema.
weekend ndo hiyo jamani!.
karibuni kijiwe cha WHY NOT if NOT na unaweza kumalizia siku yako kijiwe cha WHO TOLD YOU kama unataka kuwa uelekeo wa tegeta!! ukapate chochote upendacho.
Foleni: usihofu, leo siyo kubwa!
Petroli: usihofu kuna kituo cha mafuta kinauza Tsh. 2030 compared to Engen Mikocheni wanaouza zaidi ya 2150(hawajachakachua; EWURA wameshayapima;au na wewe njoo na densitometer yako upime-- joke).
Pole sana darling.Dah mie leo na dozi nauchungu kweli