Mimi nitakuwa kinyume na nyinyi kidogo! Jf ni sehemu ya mapambano ya ukombozi wa taifa hili tunapambana bila kutiliana shaka wala kuoneana haya!

Kitendo cha kukutana na kufahamiana kitapunguza ujasiri wa makamanda wa vita! Kumbukeni jf ndio chombo pekee cha habari chenye uwezo wa kuingia mpaka chumbani kwa mkweeree na ndiyo chanzo cha habari zote tz!

Ningeshauri twendeni twitter na facebook ndiko tufahamiane na kubanjuka! Jf ibaki kama chombo cha ukombozi tz!!
Mhhhhh tunaweza kukutana bila kuambiana ID zetu au tunaambiana ID not real names inawezekana once in a whileMimi nitakuwa kinyume na nyinyi kidogo! Jf ni sehemu ya mapambano ya ukombozi wa taifa hili tunapambana bila kutiliana shaka wala kuoneana haya!
Kitendo cha kukutana na kufahamiana kitapunguza ujasiri wa makamanda wa vita! Kumbukeni jf ndio chombo pekee cha habari chenye uwezo wa kuingia mpaka chumbani kwa mkweeree na ndiyo chanzo cha habari zote tz!
Ningeshauri twendeni twitter na facebook ndiko tufahamiane na kubanjuka! Jf ibaki kama chombo cha ukombozi tz!!

Hapo kweli mkuu umenena,hivi unafikiri nikikutana na mtu ka Mwita25 au Faiza fox mi nitafanya nini zaidi ya kumchapa makofi?

Umeona eheee JF members hata tukiwa South Sudan tunakutana

Mimi nitakuwa kinyume na nyinyi kidogo! Jf ni sehemu ya mapambano ya ukombozi wa taifa hili tunapambana bila kutiliana shaka wala kuoneana haya!

Kitendo cha kukutana na kufahamiana kitapunguza ujasiri wa makamanda wa vita! Kumbukeni jf ndio chombo pekee cha habari chenye uwezo wa kuingia mpaka chumbani kwa mkweeree na ndiyo chanzo cha habari zote tz!

Ningeshauri twendeni twitter na facebook ndiko tufahamiane na kubanjuka! Jf ibaki kama chombo cha ukombozi tz!!
hahahahhaaaaa!Mimi nitakuwa kinyume na nyinyi kidogo! Jf ni sehemu ya mapambano ya ukombozi wa taifa hili tunapambana bila kutiliana shaka wala kuoneana haya!

Kitendo cha kukutana na kufahamiana kitapunguza ujasiri wa makamanda wa vita! Kumbukeni jf ndio chombo pekee cha habari chenye uwezo wa kuingia mpaka chumbani kwa mkweeree na ndiyo chanzo cha habari zote tz!

Ningeshauri twendeni twitter na facebook ndiko tufahamiane na kubanjuka! Jf ibaki kama chombo cha ukombozi tz!!

Sio kweli watu humu tunafahamiana wengi na tunachangie km kawa mf. Mimi hapa niko na the finest Southen Sudan mbona tunachangia tu?

hapo kimboka kwa machangudoa unataka umpeleke nani,au huwa unanunu bluetooth hapo,inaelekea we ni mteja wao

The Finest na Afrodenzi ..

watakuwepo ... mmmmhh

hahahahhaaaaa!

Hivi hata members wa MMU nao ni wanaharakati wa ukombozi?

Anyone near rose guarden? Wale wadada wenye masaburi makubwa wa promotion ya heineken wapo hapa! Mukuy'e tinywe mayi'
Mbona mnamtenga wakili wenu?The Finest na Afrodenzi ..

watakuwepo ... mmmmhh
Huu mtego!! Kama usalama wataifa tutajuaje.