FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
Kweli?utamvalisha habaya na ushungi?Mke wangu sintamruhusu avae hivi
kayarudi sana magoma mpaka miguu inapwita lakini kakosea wenzake wanabebaga sandals kwenye mkoba kama reserve wakitoka kuyaruka majoka wanavaa sandals zao!Haya ilikiaje anatembea peku lol....
kayarudi sana magoma mpaka miguu inapwita lakini kakosea wenzake wanabebaga sandals kwenye mkoba kama reserve wakitoka kuyaruka majoka wanavaa sandals zao!
najua akivaa hivo atakuwa anawavutia wengineKweli?utamvalisha habaya na ushungi?