Yuda Iscariote aliponzwa na madili yake

curie

JF-Expert Member
Oct 25, 2020
664
1,489
Wengi wanamjua Yuda Iscariote kama msaliti wa Bwana Yesu lakini huyu jamaa alikuwa mtunza hazina wa Yesu na aliaminika sana hata kuliko Zakayo mtoza hushuru.

Hivo kutokana kumjua Yesu vizuri hivyo alijua hawa wajeda hawana uwezo wa kumkamata Yesu hivo walivyo mletea vipande 30 kaona ndo muda mufaka wa kutunisha mfuko.

Ikumbukwe alishapita katikati yao kule kijiji kwao na kuondoka zake bila ya kumuona point hii Yuda alijua Yesu atapita kati yao ndo kuondoka zake na wayahudi kubaki wakishangaa ..

Je kwa sasa tunaona wakina Yuda wengi wanatuachia mikasa wakijua tunachomoka lkn wapi?

Muwe jumaa kuu njema
 
Inshu yoyote ikiwa nasura ya kupiga dili kua makini maana unaweza kuuza hadi utu wako.

Alicho kifanya yuda nitamaa yakudhani kila wazo nisahihi kumbe sio.

Wakati yuda anapanga namungu anapanga..
 
mi nakmba kuuliza mkuu hvo vipande 30 walivomletea vilikua n vya nn yaan dhahabu ,mkaa,pesa, au ni nn wakuu mnijuze nami nijue
 
Back
Top Bottom