Prof Janabi wa JF
Senior Member
- Jul 7, 2023
- 189
- 490
Ni labour dayKumbe tarehe 2 September ni siku ya uhuru hapo Marekani!!
Asante nimejifunza
Labor Day ni sikukuu ya Wajawazito sio sikukuu ya Uhuru uwe unasoma kwa kutulia na Wewe Kitombile ndio anavyokufundisha hivyo?Kumbe tarehe 2 September ni siku ya uhuru hapo Marekani!!
Asante nimejifunza
Labor Day = sikukuu ya Wajawazito kwa kiufupi unaweza weka Kiswahili laini ikasomeka Wafanyakaziitakuwa tarehe mbili ambayo ni Labor Day kwa Marekani.
04.07 ndio freedom day kwa USAKumbe tarehe 2 September ni siku ya uhuru hapo Marekani!!
Asante nimejifunza
Labor Day ni sikukuu ya Wajawazito sio sikukuu ya Uhuru uwe unasoma kwa kutulia na Wewe Kitombile ndio anavyokufundisha hivyo?
FaizaFoxy huko Shule ulienda kusoma ujinga?
Labor Day = sikukuu ya Wajawazito kwa kiufupi unaweza weka Kiswahili laini ikasomeka Wafanyakazi
#kaributuleskanka
-Here it goes Again
Mzee wangu Mimi ni brother naelekea kua Shemasi sio Sister, Vipi ushakula? Skanka?Labor day ni siku ya wafanyakazi kama May mosi bongo na nchi zingine. Unawaza mimba tu ushadungwa nini, sister?
Naijua hii pia04.07 ndio freedom day kwa USA
Kamanda unapenda sn kumfatilia manzi angu acha nijilie vyangu taratibu.Labor Day ni sikukuu ya Wajawazito sio sikukuu ya Uhuru uwe unasoma kwa kutulia na Wewe Kitombile ndio anavyokufundisha hivyo?
FaizaFoxy huko Shule ulienda kusoma ujinga?
Labor Day = sikukuu ya Wajawazito kwa kiufupi unaweza weka Kiswahili laini ikasomeka Wafanyakazi
#kaributuleskanka
-Here it goes Again
Weekend ndefu inaboa, otherwise uwe mtu wa bata, kwenda kwenye picnics na clubsUko marekani uko bored kiasi hiki sisi wa huku nchi ya kizimkazi sijui tuseme niniπ π π
ππIlikuwa ni utambulisho tu nakutuambia anapatikana wapi?
Prof Janabi wa JF upo jimbo gani huko USA ?
Ukichoka kukaa ndani Kaa nje mkuuAisee wiki inaisha na mwezi unaisha, kwa huku Marekani hapa nilipo leo kuna mechi kubwa sana ya American Football, kwa hiyo ofisi nyingi zimefungwa saa sita mchana. Na kuanzia hapo ni wadau tu wanaweka mabango ya kufanya burudani zao.
Maisha ni tofauti sana, tangu saa sita ndege mbili zinazurura angani kutangaza hiyo mechi. Mimi mtoto wa kijijini huko nawaza kama siku Simba na Yanga wataweza kutumia ndege kuhamasisha. Folenii imekuwa kubwa sana, yaani ni tukio ambalo wenyewe wanalipenda, kwa hiyo wako nalo vyema. Ni American Soccer, sio ile ya kama ligi za Ulaya.
Wiki inakuwaje ndefu! Jumatatu ni siku kubwa sana kwa Marekani, itakuwa tarehe mbili ambayo ni Labor Day kwa Marekani. So naona masiku ni mengi kukaa ndani kutulia. Tangu awali kukaa ndani kunakuwa kunakera sana.
Kwa sisi wadau ambao kukaa ndani tunakereka huwa tunatamani kuwa kwenye mishemishe za kuweka mambo sawa. Ila anyway, nitaangalia Netflix kama itaniondolea upweke mzee wenu.
Ndimi Prof Janabi wa JF,
Mshamba kutoka Tz anayewakilisha taifa Marekani