Hela ya bando haitoshi bana.aisee pole sana maana nahisi umetumia akili nyingi sana kutunga hili
HIVI HELA YA BANDO UMETOA WAP YA KUWAPIGIA MAJAMAA
Hela ya bando haitoshi bana.
wine pekee 20,000.
kukunusu 7000.
plain chips 3000.
accomodation 20000.
nauli=800 ×2(na ya demuHela ya bando haitoshi bana.
wine pekee 20,000.
kukunusu 7000.
plain chips 3000.
accomodation 20000.
Kuna binti jiran mrembo
nimem-aproach takribani mwezi wa tatu sasa lakini majibu yake yalikuwa
negative.
Ghafla leo kani-text akihitaji nimtoe out kwani leo ananafasi hadi saa
4-usiku.
Sasa hapa nilipo hata nauli ya daladala sina nimemtonya jamaa yangu naye
hali mbaya, yaani ndege anapeperuka hivi hivi jamani? Weekend mbaya
sana kwangu
Hela ya bando haitoshi bana.
wine pekee 20,000.
kukunusu 7000.
plain chips 3000.
accomodation 20000.
nauli=800 ×2(na ya demu
chips kavu=1000×2
maji ya kunywa=400×2
chumba=3000
kutokana na jamaa hana hata nauli nadhani ifuatayo ndo aliokua anaizania