Mimi hii kitu uwa nachukia saaaaana, maana mnapanga tuonane na watu ili kudiscuss isssue za Kimaisha mara unaona mshiriki kila kinachoongelewa yeye unajibu kwa kuguna..uhuuuuuuuuuuuuu, uhuuuuuuuuuuuu,uhuuuuuuuuuuu; wakati huo akiendelea kuchati na michepuko yake.
Smartphones ni Vinyonya nguvu" energy drainers" tujiepushe vinatupunguzia muda wa kufanya na kufikiria mambo ya Kimsingi ktk maisha.