Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,628
What a beautiful colaboA
hahaha...album inatoka lini?
Yeah
Hivi karibuni kama week mbili zijazo ngoma itakua kitaani
Niwekee CD zangu kumi kabisa
ahahahahahhahahahahahah nyimbo itabamba sanaaaaaaaaaa japo natazamia kutoa na remix mapemaaaaaa angalia nyimbo yangu isije ikaibiwa beat bure na mashairi yake
Hapo kwenye kinanda sio mchezo.