Weekend Hii

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,119
Habari za kwenu ndugu jamaa na marafiki

Weekend hii nina mpango wa kusikiliza nyimbo za Kwaito zilizowahi kutamba sana na zinazoendelea kutamba wakati naendelea na shughuli nyingine za nyumbani. Sasa naomba wanaozikumbuka wanisaidie majina yake ili niziandae kwa ajili ya weekend hii. Mi nazikumbuka hizi;
  1. Ndihamba Nawe - Mafikizolo
  2. Mhla Uphel amandla - Malaika
  3. Muntuza (2 Bob) Malaika
  4. Emlanjeni - Mafikizolo
  5. Sanjalo - Mina Nawe ft Lady Jay Dee
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu

Ndimi mwenzenu katika kupata burudani ya weekend nyumbani

M'Jr
 
Mkuu nilikuwa natafuta kweli majina ya hizi Songs, hatimaye nimefanikiwa kuzidownload.... Thanks Jombaa
 
Mkuu nilikuwa natafuta kweli majina ya hizi Songs, hatimaye nimefanikiwa kuzidownload.... Thanks Jombaa
Shukrani kwako pia mkuu
 
Kwa raha zako..nice w/kend
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…