Kazi zilibana sana hivo week hii niko free tena ntakuwapo sana hapa JF
Nilikuwa busy kidogo then we can share everything new,
Nimetoka zangu Norway ninapumzika hapa Lviv wenyewe wanaita a dining city
Watoto wa kimataifa kiukraine lazima wachezee hapa kupoza kazi ngumu nilofanya
Nipo nalipimia Toto hilo na picha ni kwa Ridhaa yake
View attachment 1054433