sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,454
We subiri warangi wakusikie lolNgarenaro ni kubwa kuliko Arusha. Na stand ipo Osterbay! Hah hah hah haaa!
We subiri warangi wakusikie lolNgarenaro ni kubwa kuliko Arusha. Na stand ipo Osterbay! Hah hah hah haaa!
We subiri warangi wakusikie lol
Hukuniona stadium juzi nikivua gwanda na kuvaa gamba? UtajijuKhaa! Umejiunga lini CCM? Unachakachua kama kura za Igunga!?
Hukuniona stadium juzi nikivua gwanda na kuvaa gamba? Utajiju
Sasa kumbe, uliniona nilivyolia kwa uchungu mpaka Wahasira akaahidi kunichangia laki tano? Chezeiya magereza Filipo! Hawa chadema wabaya sana, wanatulipisha mil 15 hivi hivi lol!hah hah hah hah hah! Kumbe wewe ndiye yule "Diwani wa Olasiti!".