Week end njema wana jf

Elia take it easy; next time anza kwa kukaribisha wote then ufuatishe majina. najua mimi siyo wa karibu sana na huwa hatujichanganyi kwa sababu hatuna watu wa kuchanganyikana nao. kwa wale walioko Marafiki, DHW, huwa tunakutana sana, tunakula na kunywa na kufurahi. Ikitokea hapa watu mkakutana basi msinisahau kwenye kingdom, kuna vitu vingi tunaweza fanya kwa kukutana, apart from drinking, eating. Kuna watu wana biashara zao hapa, wanahitaji kuongeza wateja, we are the one to boost each other.

Tutumie hizi chating si kwa kufanya discussion tu za vitu nata biashara pia, kila mtu ana uelewa wake, ila tukikutanisha mawazo basi SOMETHING CAN HAPPEN.

I bless you my friends, lets join hands to help each other. AMEN
 
Caroline umeongea jambo la msingi exchanging business ideas i interested in that since i am in that field
 

Im real Blessed, You have a point, Thanks Budy!
 
Hakikisha unakunywa maji kwa wingi mydear

Nnavyopenda maji baridi na hili koo?Ngoja nipige kikombe kingine cha tangawizi...asante kwakuniweka bize mpendwa maana...!
 
Sasaaa...kila mfupa na kila nyama kwenye hili hekalu vinauma!Ngoja nivipumzishe.
Sawa sis nafikiri nitachelewa kurudi home sijui nani atanifungulia mlango na wewe unaumwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…