Weeekend Njema Na The Marley Brothers

where is damian ?? junior Gong sijamwona kweye picha
 
Hapa mwendo wa Burning Spear tu...
 
Huyu wa kushoto mbona kama Uamsho?
Au macho yangu.
 
Hapo pananuka bangi ile mbaya.
 
kila nnapopata majonzi au kuwa bored naimba wimbo wowote wa bob! Hakika huwa napata nguvu na courage! Wake up and turn i loose, coz the rain is pourin' got to have kaya now, kaya, kaya....we ll' be forever luvin Jah
 
Marehemu Bob alikua anachoma ile mbaya lakini jamaa alikua anapata wapi nguvu ya kuzalisha namna hii?? Na bado nasikia kuna wengine wa kike!

 
Damian hayupo Hapa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…