Weeekend Ndefu

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,825
Reaction score
1,307
Eti wana JF. Ni mwanaume gani humu Chit chit hana Mchuchu wa humu humu Ndani nitoke naye weekend hii.

Jamani ni kutoka tu msini interprate vibaya.

I really miss Bebii
 
Last edited by a moderator:
Yaani hapo umenipata! Sina mchuchu kabisa. Mimi nimeoa na nina mke mmoja kwa hiyo kama wewe ni mchuchu basi nitafute!
 
Yaani hapo umenipata! Sina mchuchu kabisa. Mimi nimeoa na nina mke mmoja kwa hiyo kama wewe ni mchuchu basi nitafute!

ha ha ha ha ha Filipo don make me lough huyo mkeo ndio mchuchu wako ati!
 
Last edited by a moderator:
Kwani kaka Blue G kwani ni lazima niwe na Suprise
We manoah hauachi tu ngoja suprise akuzukie hapa mi sitoi ushahidi ng'o.afu akikununia mi usinitafute nianze kukubembelezea,kwanza nitajidai sisikii hata ukiniita we haya tu endelea uchokozi wako.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…