kafanya nini?
Kaku dump bila kosa mwanangu
Sasa na nyie kwa nini hamkutia pamba mu masikio?
mmmh! nilisahau itabidi nikipata mwingine niweke dadi au unaonaje? alafu mama yupo wapi
Kwenye mapenzi katu usisikilize la mtu!
Mama ananyonyesha mdogo wako......halafu si unajua ana mimba tena?
The secretary manoah kakumiss
Nitarekodi kila kitu na kukimwaga hapa cc kama hutawekewa drip
Kwenye mapenzi katu usisikilize la mtu!
Mama ananyonyesha mdogo wako......halafu si unajua ana mimba tena?
The secretary manoah kakumiss