Wedding planner

Wedding planner

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habari wadau wa jf

Wapendwa wangu kwa huduma bora za Wedding, iwe kupangiwa kukarabatiwa, au kupangiwa Sherehe yako au shughuli zako unavyotaka iweje siku hiyo karibuni sana kwani nimebobea katika shughuli hizi utaenjoy na kufurahia huduma zangu karibu Na:

Kwa huduma za keki, kadi, uMC, karibuni pia ninazo sample nzuri sana nawe utafurahia huduma zangu karibuni tuwahudumie

Ladyf
 
Back
Top Bottom