Wedding Anniversary

my dear, upo pande zipi?? pande zile au zile nyingine na wakwe zangu?? salamu zimefika nitakusalia sala yangu, hiyo ndiyo haswa zawadi yangu kwenu!
asante my dear.......
mwenzangu, zile ambazo wakwezo hawapo, kwi kwi kwiiiiiii.
Asante kwa zawadi ya wakwe warembo............... naamini nao wataishi kwa Upendo na amani kama wazazi wao
 
Umenena sawa kabisa mpendwa.
ila hata hao wanaolalamika siyo kwamba ndoa zao ni mbaya 100% ila binadamu tuna tabia ya kuongelea sana mabaya kuliko mema
 
kaka yangu mpenzi wa kuachiana ziwa kwa mama yetu,dada FP kasema leo watakuwa wenyewe tu na shem wetu!sisi tusubiri ya miaka 15,sana sana tunaweza kwenda sehemu tujipige jipilau kwa niaba yake,af tuwapitie watoto tuwbaby sit!ili wawe na the whole house by themselves full kukimbizana juu ya makochi!
 
Last edited by a moderator:
labda mpunga tufanye weekend, leo ni kwa ajili yetu wa2 tu. si unajua tunahitafi kufanya analysis? tulianza jana usiku, tutamalizia leo usiku, ha haaaaaaaaa
 
Hongera sana FP "mpiga debe wangu"...! Ndoa yenu bado changa jamani...!
mpiga debe mimi nashukuru sana, bado nakumbuka..... hope ile ndoa haijavunjika.
Nashukuru sana kwa kunikumbusha kuwa ndoa yetu bado changa. Ni kweli bado changa, we have long way to go...... hii ni changamoto niendelee na mapambano na shetani ili ikomae. Thanx alot
 
that's my sister........................ cheers!
 
Haina noma my dearest lovely pacha wa kuachiana ziwa snowhite ..tutawapaitia watoto ili tuwaache wenyewe wakubwa wajifanyie analysis...By the way weekend hii vipi hakuna darasa??

labda mpunga tufanye weekend, leo ni kwa ajili yetu wa2 tu. si unajua tunahitafi kufanya analysis? tulianza jana usiku, tutamalizia leo usiku, ha haaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:

Unajua JF ni forrum ya kipekee sana...yaani nilivyokua namuwazia huyu dada alivyo..I never thought kwamba eti atakua na ndoa tena for 13 years!!!!
MUNGU AKUWEKEE MKONO WAKE UPATE KUIONA 50th ANNIVERSARY UKIWA NA FURAHA NA HUYO MWENZIO!!!
 
Amen.
asante sana kwa maombi, naamini Mungu atatujalia hayo.
lakini majany kama unasoma post zangu ungelijua hili bila wasiwasi
 
Last edited by a moderator:
Haina noma my dearest lovely pacha wa kuachiana ziwa snowhite ..tutawapaitia watoto ili tuwaache wenyewe wakubwa wajifanyie analysis...By the way weekend hii vipi hakuna darasa??
umeona enh!darsa itabidi liwepo kwa kweli hebu tujipange!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…