Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #21
Nashukuru sana rafiki yangu kwa haya maombi yako, naamini Mungu atatujalia yote uliyotuombea.... Asante sanaHongera sana FP kwa kutimiza miaka 13 ya ndoa. Kwa kweli unastahili sifa na pongezi maana si wote ambao wamebahatika kupata wenzi bora wa maisha na wakadumu nao kwa mda mrefu huku wakiishi kwa amani, afya na furaha...Lakini pamoja na hayo yote, sifa na shukrani ziende kwa Mungu muweza wa yote aliyekujalia hekima na akili ya kuweza kuchagua mwenzi bora wa maisha.
Sina mengi ya kusema zaidi ya kukutakia mema na baraka tele katika safari yako ya maisha ya ndoa...Mungu awaongoze katika safari hii ya maisha yenu, kila mfanyalo mlifanye pamoja naye...awajalie muweze kujenga familia bora na yenye kumpendeza Mungu...Hongereni sana katika kusherehekea siku hii ya leo...na ninawatakia kila heri na baraka tele katika safari hii ya maisha yenu ya duniani...Mungu awabariki sana.
barikiwa sana mpendwa
Amina, asante sanaHongera sana. Mungu awe nanyi.
Nashukuru sana rafiki yangu kwa haya maombi yako, naamini Mungu atatujalia yote uliyotuombea.... Asante sana
Asante sana kakangu......Pamoja sana dada angu...Cheeeerss!!!!
Ndugu zangu wapendwa, leo tarehe 9/10 ni kumbukumbu ya agano langu la ndoa kati yangu na mpenzi wangu miaka 13 iliyopita.
Namshukuru sana Mungu wangu kwa kunipa huyu rafiki yangu kuwa mwenzangu. Ni jambo ambalo sijawahi kulijutia katika miaka yote 13 niliyoishi naye. Nazidi kumwomba Mungu tuzidishe upendo katika haya maisha tuliyoyachagua.
Nawaomba pia rafiki zangu wenye mapenzi mema mzidi kutuombea maisha yenye Upendo, Baraka na Neema.
all the best my dearnakumbuka clearly this was our first dance wedding song
Shania Twain - From This Moment On - Lyrics - YouTube
Kila nikisikiliza hayo maneno, najua hatukukosea kuuchagua and we both meant every word BAK unawekaje zile link zako?
Asante rafiki,all the best my dear
the way navokuonaga u deserve the best
nakumbuka siku moja ulisema uligundua kakusaliti ukaingia nae room ukalia hadi mwenyewe akakuonea huruma...from that day nilijua wewe ni mtu wa aina gani..
but mwambie asicheat tena eeeh!
Adante sana, namwomba Mungu nisije nikafikia kuiona ndoa JehanamuHongera sana kwa uvumilivu wa miaka kumi na tatu; wengine ndoa zao zimegeuka jehanam na ndio maana hazidumu!! Congratulations pretty lady!