Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
- Thread starter
-
- #41
Duh.. Bado watanzania tuko nyuma sana! Hv bado mnasearch news kwa kufungua website?.. Mi niliacha mda huwa natumia alert, na google reader, yaani habari zinanifuata mahali nilipo.
mh, huz mbona ile yako hujaiweka. ama ulilazimishwa kuitengeneza?
Nasimamia mtaawasaba.com kwa sasa mpenzi... iyo mataka kijacho akija awe anaisimamia mi nikianza kuchoka
we inaelekea unapenda sana pilau? he he...maana mawazo yote hapo huko, tupe link!!
haaaaa kakaaaa!imerudi??????????nimeimisi mbaya
Unaangalia mambo ya harusi!!
Una walakini....
mmmmmmhhhhh ingia hapa ila tumia google kwa majibu mazuri andika "RahaTupu" afu utaona nini kinatokea..
:biggrin1: kuna siku nilisoma cnn kua porn sites are the most watched and visited by the online customers according to a survey sa nashangaa kila mtu hapa anajidai anaangalia bbc sijui nini wakati ukweli wa moyoni wanauficha