josephmasamaki
Senior Member
- Apr 27, 2011
- 163
- 84
Waache vijana wapate mauzoefu!! Ndiyo nguvu kazi ya kesho mkuu!nyie vijana mnaojifunza hacking mnasumbua sana.i wl expose you one after another in a matter of minutes.kaeni chonjo
Lokissa ... hakuna kinchoshindikana ... sema tu labda wewe hujui unachokiongea!!ni mjinga tu huyo alie fanya hivo
tena atakuwa mtu wa hapo hapo wizarani
mbona kashindwa kuhack na hii
Tanzania Police Force
Mkuu sijaelewa..!! yupi aache upumbavu?! Hacker!? au Systems Administrators wa Wizara!? But somehow it's a shame kwa nchi..waache upumbavu kabisa. kuna mambo mengine hayataki mzaa hata kidogo.
Kaka hata hii ya Wizara ya Afya bado matope tu!! angalia http://www.moh.go.tz/Juz kati ilikuwa wizara ya afya!leo huku,huyu m2 atafutwe.au ma IT hawalipwi?
Mkuu sijaelewa..!! yupi aache upumbavu?! Hacker!? au Systems Administrators wa Wizara!? But somehow it's a shame kwa nchi..
Chief Information Officer-CIO na Team yake wanafanya nini pale Wizarani?
Hawa watakuwa wameshindwa kazi ni bora wakapumzika!