Kama kawaidaa yako GTkwa kutumia kigezo chako umeiona ya Kayanda tu mbona ya mfadhili wako ndio haifai kabisa;kwani sio tu haiwi updated bali ina virus pia, kwani ukiingia tu ving'ora mtindo mmoja!! Sijui hata kama mkulu mwenyewe anaitembelea hiyo website yao. Hata huyo msaidizi wa Rais aliyekuwa na blog yake angewasaidia basi kama ana utaalam!