Makaburi ya WATAWALA wetu na UFISADI wa SERIKALI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makaburi ya WATAWALA wetu na UFISADI wa SERIKALI

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Sep 15, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Yap, ufisadi si kuiba au kuikosesha mapato serikali lakini msamiati huu unaweza kuendelea kule nyewe Serikali yenyewe inakuwa na tendencies za KIFISADI FISADI

  sasa hivi wana Mradi mkubwa wa makaburi ya WATAWALA wetu maana viongozi ndio hatuna, sasa katika mradi huu ambao gharama yake ni MABILIONI mpaka ofisi ya Waziri Mkuu inaogopa kutaja ni kiasi gani umekuwa gumzo la chini chini kwenye duru za siasa na wale watu wa mipango kule Magogoni na kwa taarifa tuu ni kuwa ZANZIBAR washaobject kwa misingi ya DINI kuwa hawawezi kukubali kuzikwa kwenye makaburi ya pamoja na wasio waislam wakati huo huo wanaobject kwa serikali ya TANGANYIKA kutowahusisha vilivyo kwenye hii mipango ya MAKABURI YA WATAWALA itakayokuwa DODOMA

  Anyway, cha kujiuliza kama si ufisadi ni nini kweli sasa hivi ndio tupange mipango ya ma BILIONI ya kuwa na haya Makaburi ya watawala?

  Kwa kuijua ofisi ya Pinda ilivyojaa ma mediocres najua hawa watafeli tuu kwa sababu mfano hai upo na katika ule mkutano wa chuo kikuu cha MANDELA wapambe wake walikuja bila kuwa na uhakika chuo kitacost kiasi gani na matokeo yake wakaanza GUESS WORK kuwa kitacost BILIONI 11 ili hali mpaka jana docs zinaonyesha CHUO KITACOST BILIONI ZAIDI YA 30!


  No wonder hawataki ku update website ya Waziri mkuu...these guys should take a leaf from SALVA Ikulu:

  wafungue e-mail ya Yahoo!

  then kila wakiwa na news watumie akina Maxene na Kubenea e-mails

  na website waiache mpaka ife natural death kama ilivyokufa ya Ikulu

  wasithubutu kuweka policies zao online kwani ni loophole ya wao kukosolewa


  By the way Hili ni wazo zuri lakini Makaburi haya yangekuwa ya MASHUJAA WETU kama wanajeshi ambao nawaheshimu kuliko hawa WATAWALA
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  GT,
  It is rare that I find myself in agreement with you. When I read the report I had the same reaction. And then I started thinking why do we need a grand cemetery to bury our wabunges, our former presidents, vice presidents, prime ministers etc? And my eyebrows were raised further when I read that the government is looking for an international firm to provide a detailed design for the national leaders cemetery at Iyumbu. The govt has acquired 120 hectares of land for that purpose. Tanzania has indegenous designers, architectures and what have you, why look for an international designer? Kuna mshiko.
   
 3. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Siku hizi tumekuwa copycats, monkey see, monkey do.

  Mmarekani ana Arlington cemetery, na sisi tunataka, hatujui hata historia yao ilivyo tofauti na yetu, let alone utamaduni.

  Huku kuiga huku! Mpaka huyu rais ambaye hohehahe upstairs anataka kujiumbua zaidi eti sesion ya maswalim na majibu, maswali na majibu my foot, hata baada ya kuwa coached anachemsha.

  Kuiga tu, kuiga kuiga.Hivi mitatizo tunayo kibao inayohitaji resources zetu chache, sie tunaenda kufakamia kitu ambacho wala si issue tunataka kukifanya issue, tutupe mihela kwa sababu tunayo mingi sana, tulete mi controversy mipya kwa sababu iliyopo haitoshi.

  Hivi hii Tanzania nchi moja au kuna viongozi wanakaa nchi tofauti na watu wa kawaida?
   
Loading...