Wanaingiza data za waliofanya interview juzi.sasa watakuwa wanaizuia mpaka watakapomaliza kuingiza data ndo wanaachia.majina yenyewe mengi mno.mimi nashauri interview zenye watu wengi sana wawe wanatumia utaratibu wa bahati nasibu.wanaingiza namba za washiriki (wenye sifa) kwenye mtambo na kuu command uchague watu wanaohitajika randomly.