Website ya Kanisa

Website ya Kanisa

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Wapendwa Kama kichwa kinavyosema, mimi nahitaji kuwa na website ya Kanisa nasema mimi kwa vile nikiongozi, ni mambo gani niwe nayo ili kuweza kuwa na web? Je ni gharama kiasi gani kufungua, kifupi mimi sio mtaalam na mambo haya hivyo unaponieleza toa maelekezo yooote ya kutosha.

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
 
Kwa sababu sio mtaalamu wa mambo ya website utahitaji kutoa pesa kwa wataalamu ambao wataitengeneza ikamilike kila kila kitu kulingana na dhumuni la website ambayo nyie mnahitaji na pia baada ya kukamilika itabaki pia awepo mtu ambaye atakua aniendesha so inabidi mtafute mtu hapo kanisani awe anaisimamja ambaye atakua mtaalam au ataelekezwa kitu kingine hapo kanisani iwepo kompyuta na internet, maana huwez kuiendesha website kwa simu itasumbua. Ni hayo tuu, so subiri wajuzi wakucheki mfanye kazi hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwa umuhimu sana, but kwanini unahitaji website? Ni kiongozi wa Kanisa gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali gani hili?.

Unahitaji kulipia servers na domains.

Itabidi pia utafute web developer na kisha umueleze web unayoitaka ni ya aina gani.

Ila kama website unayohitaji ni blog mfano kuweka mafundisho nadhani blog inafaa ambapo utadownload templates na kuziedit. Na hapo utanunua domain tu.
 
Kama huna utaalamu wowote kwenye kucode website tumia hata website kama www.wordpress.com
www.weebly.com
www.wix.com
Kutengeneza website bure bila kutumia code utakachofanya ni kuchagua templates unazopenda na kuedit pia utakua ns uwezo wa kuedit na kuiendesha website yako bure. Unaweza kutumia website kama www.freenom.com kupata domain name za bure eg: .(tk, .ga) au za .com kwa kulipia ila hata hizo website zinatoa free domain name ila kuna muda zinakuwa ndefu so ni ngumu mtu kuishika so unaweza kununua au kutumia freenom kupata free domain name fupi. Kama huna idea yoyote na hii pitia YouTube zipo tutorial nyingi sana zinazoelezea hayo mambo.

Ukitaka website ya kucode ni gharama zaidi kumpa mtu tenda na pia gharama za uendeshaji zinaweza kuwa kubwa kutokana na mahitaji yako.

Nashukuru kwa maelezo yako mazuri, nadhani kama hutojari unipatie namba yako ili uwe msaada wangu wa hatua za kuanzia maana kukutana na kuulizana kwa njia hii itanichukua muda mrefu kuelewa somo hili vizuri.

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
 
Wapendwa Kama kichwa kinavyosema, mimi nahitaji kuwa na website ya Kanisa nasema mimi kwa vile nikiongozi, ni mambo gani niwe nayo ili kuweza kuwa na web? Je ni gharama kiasi gani kufungua, kifupi mimi sio mtaalam na mambo haya hivyo unaponieleza toa maelekezo yooote ya kutosha.

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk

Kwanza kabisa acha kutumia simu ya Tecno.
Ukishabadilisha uje hapa tuanze upya.
 
Mbn tunawasiliana vzr tu

Back
Top Bottom