Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,352
- 9,810
Kichwa cha habari ni Cha kiswahili,habari ni ya kiingereza. Kama hujajipanga kuleta habari so uache tu!
Domains zote zilizosajiliwa kwa majina yanayoishia na .com, .net, .org n.k. zimesajiliwa Marekani kwa mujibu wa sheria.Hivi hawa jamaa wanawezaje kufunga Domain isionekane dunia nzima??..Wataalam wa IT tuambieni.
Utabashiwa wwInawezekana tu, kama mwanangu nae ni basha
Utabashiwa ww
Unavaa kata k mtaa wa mabasha watakugombea dogo
Basha haogopi kubashiwa , maana hayo mambo ya kubashia ndio tabia yakeUtabashiwa ww
Unavaa kata k mtaa wa mabasha watakugombea dogo
Mhadithia mvua imemnyeaBasha haogopi kubashiwa , maana hayo mambo ya kubashia ndio tabia yake
Usikariri mdogo wangu, watu wanahadithia mpaka habari za Alexander the Great, na wala hawajamuonaMhadithia mvua imemnyea
Thanks mkuu.Domains zote zilizosajiliwa kwa majina yanayoishia na .com, .net, .org n.k. zimesajiliwa Marekani kwa mujibu wa sheria.
Kampuni za usajili wa domains kama vile VeriSign nchini Marekani kwa mfano, imesajili websites zote zinazoishia na ".com". Kampuni hizi zinafuata sheria zilizowekwa na Marekani, na kwa kishirikiana na mashirika ya kisheria ya kimataifa, zina mamlaka ya kuzifungia websites ambazo zitakiuka sheria na taratibu.
1995 unakumbuka Iran ilitaka kutufanya vibaraka wake? eti akipigwa na israel au marekani basi sisi nchi nzima tuandamane na kumlilia ! sasa unampendea nini huyo mpwaya pwaya !Marekani anafinya uhuru wa habari , haya mambo wakifanya wenzake, utamuona anavyo lalamika
Iran alikuwa dhaifu kipindi hiko maana alitoka katika mapinduzi kabla hajajipanga Iraq akaanzisha vita kwa mda wa miaka 10 ndio ikaisha, huyu Iran wa sasa yuko imara sana ndio maana kila anaetaka madaraka Israel pale lazima turufu awe Iran1995 unakumbuka Iran ilitaka kutufanya vibaraka wake? eti akipigwa na israel au marekani basi sisi nchi nzima tuandamane na kumlilia ! sasa unampendea nini huyo mpwaya pwaya !
PUMBAmheshimu mmarekani na Israelis ili upate heri na miaka mingi duniani! muulize hugo chaves wa venezuela na castro wa Cuba, Qadafi na sadam Hussein utajua nini maana ya kukaidi amri hii ya kumi na moja!