Website ya Clouds FM kimeo


wanajitanua kwa kuwaibia na kuwadhulumu wanyónge? wizi mtupi
 
Wamefulia hao,website yao mara ya mwisho kufanyiwa marekebisho ni mwaka 2007.
 
ahhaaaa ahhaa hwa nao misifa kweli wanajiona wao ndio wapo juu kumbe kushneyyyy
hapo big up mwana mabishoo uwa hawadumu huo mwanzo.
Conquest
 
Mzee hilo ni suala la taaluma na siyo kupiga mdomo tu na ujanja ujanja? ukosoaji wenu ni mzuri ila muweni watu makini ndugu zanguni.
 
Niliwahi mwambia Kipanya kwamba hawa jamaa wako busy na Fiesta wamesahau kwamba wana website.
These guys a busy making money. Biashara ya website hawaijui.
 
Kwani wazee wa Jahazi hawalijaona hilo jameni akina Kapteniii na Kimutelemko(Kibonde)
 
Nadhani watarekebisha sasa kweli Jf kiboko!

Haswaa!
We dare to talk openly. Haiwezekani wao akina Bonge wamekaa kukosoa maeneo mengine ya kiutendaji kumbe nyumba yao nao ni chafu!
 
kwan wale wana taalum yoyote?

ovyo sana
wanyang'anyi wakubwa hawa!
 
Sio web site tuu kimeo,watendaji wote wa clouds ni vimeo kupindukia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…