Website ya chama cha walimu tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Website ya chama cha walimu tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ndumbayeye, Apr 17, 2011.

 1. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,787
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Waungwana nimeitafuta website ya chama cha walimu bila mafanikio, kama kuna wa kunisaidia pliz!
   
 2. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,787
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  kimya hiki inaonesha hawana.
   
 3. k

  kasinge JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2011
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Hivi hawa CWT wameshindwa hata kuanzisha website, wanafanya mambo yao kisiri siri. Wamejazana huko ni vikao tu, hawana hata wazo la website. Wanazidi kudunisha taaluma ya ualimu. Nadhani kuna tatizo la ki uongozi.
   
 4. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  He hivi hajui kuwa CWT nipango la CCM. kama unabisha hebu gombea nafasi yoyote katika chama hicho kama ww si CCM huwezi kushinda. wale wako pale kwa maslahi hao binafsi na ya chama hivyo hawawezi kufikiria swala la website. kwani hawataki watu wajue na kuhoji ni jinsigani fedha zinazochangwa na wanachama zinavyo tumika
   
 5. S

  Spellan JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Siwapendi hawa jamaa!!!!
   
 6. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #6
  Apr 7, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Kazi kweli kweli
   
 7. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Nawategemea sana vijana walio ajiriwa kipindi hiki kuleta mabadiliko makubwa kwenye hiki chama kwani kimekuwa goigoi sana na mafisadi wamezidi,
  Walimu vijana wakati ni wenu kuleta mabadiliko kwenye hiki chama.
   
 8. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #8
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,787
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  au bado wana mawazo walimu wanaishi vijijini kusiko na mitandao
   
 9. Z

  ZeTicha Member

  #9
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna website, hawana website na mpango huo hawana, kwakuwa wanafanya mambo kw siri kubwa.....
  Vijana wanahtajka kuleta mapinduzi, lakn hawa walimu wa cheti n tatzo
   
 10. M

  Magenyi Nshekela Member

  #10
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyie watoto mbona kelele,kuwa na cheti au sijui hizo zenu feki havina uhusiano. web ya CWT hii hapa.Chama Cha Walimu Tanzania
   
 11. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  elimu bila kujali msingi au sekondari toeni TAMISEMI, elimu ni mzigo tena za kata? hembu pigeni debe tamisemi iachie elimu,iwe wizara jamani-CWT kitu gani achana nao, wale wapuuzi

  source Mh. mbunge CHARLES MWILEGA
   
 12. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kwa taarifa ambazo hazijathibitishwa ni kwa kwamba;tovuti yao ipo kwenye mgomo baridi.
  "THE_EMPEROR BABY"
   
Loading...