Wana JF!
Kwa nini ukitaka kuingia katika website ya CDM inakwambia "The site Protected"? Je, nikitaka kuingia nitumie password gani? Ningependa kusoma mambo mbalimbali katika website kwaajili ya kukijua Chama zaidi kabla ya 2014 na 2015. Nitafurahi kusaidiwa katika hili