Niaje waungwana?
Natafuta web designer ambae yuko fit coz nategemea kufungua website.
Km upo dodoma na uko tayar,hollaa through 0752385949,0759362254 and lets mek a serious biz!!
Niaje waungwana?
Natafuta web designer ambae yuko fit coz nategemea kufungua website.
Km upo dodoma na uko tayar,hollaa through 0752385949,0759362254 and lets mek a serious biz!!
Kwani Dodoma hakuna IT Firms............Kama vipi nenda UDOM kuna ma dogo wanachapa code watakusaidia hiyo issue faster tena kwa mpunga kidogo tu...Kama vipi ni PM nikuunganishe na jamaa aliyeko Dodoma ninayemfahamu mimi anayeweza kufanya kazi yako vizuri