Uko sawa mkuu,hiyo web box haidumu wala nini..na kuna jamaa yangu yuko Uingereza ananiambia kuwa kwao yameisha soko kwa sababu watu wanai hivyo mengi yanaanza kuletwa Africa....hivyo bora kununua 3g phone
Kitu yenyewe inatumia GPRS/EDGE, kwa speed ya EDGE hapa bongo utalia mwenyewe maana unaweza kutoka Mwenge kwenda K/Koo na kurudi ukakuta ukakuta file la 5mb tano halijamaliza kudownload.
Sasa hawa watu kwanini wantuletea vitu ambavyo huko vilikotoka havitumiki vimepitwa na wakati halafu wanatulangua TCRA mbona wamelala au kazi ni kula tu mishahara wanayolipwa kwa dollar,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.