Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
I.T ni nzuri haisee
Ni nzuri pale unapo anza kufanya kitu ambacho unakielewa lakin ukiwa una bunda bunda ningumu sana aise hasa ukiwa beginnerI.T ni nzuri haisee
Hahahah nipo na namsuri wa programming asaiv natengeneza library ambayo itamuwezesha developer ku post/retrieve data kutoka kwenye server on realtime soon itaisha.frankgalos ulipotea wapi?
mi nakufundisha bure tu gharama ni hiyo laptop na nauri yako. yakuja coz nna project kubwa sana ambazo hata hiyo library nnayo itengeneza ni kwasababu ya hiyo project so project imesimama mbaka library iishe kwanza.Pamoja sana@frankgalos but ningekuwa na laptop ningeombe ungenifunza ku-make website ya kwangu kwa gharama yoyote ile kama hii ya JF na app pia but uwezo ndo finyu.
ina feature nyingi but ikiisha tu itakua publishedKwaio bado hujaanza zindua
poa poa but make sure unanunua laptop coz things are goin to be easy endapo hiyo library ikiishaPamoja ikiwa ewani utanistua napendaga sana mambo ya I.T
Pamojapoa poa but make sure unanunua laptop coz things are goin to be easy endapo hiyo library ikiisha