Web Designers, ready to help you! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Web Designers, ready to help you!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Invisible, Feb 26, 2011.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Are you a web designer? Need help? Hosting? Troubleshooting your sites? Your site under attack?

  I can offer my help, simply send me an email or drop me a line here (PM or post) and will respond soon.

  Can work on any platform, Joomla, WordPress, custom etc. Can fix the page loading issues, can do SEO of your site...

  We have our own servers, can even give you a reseller account.

  We also can create your own CMS based on your needs/requirements
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu, ngoja tuitumie hii nafasi
   
 3. N

  Ngambili Ngenja Member

  #3
  Feb 26, 2011
  Joined: Mar 1, 2008
  Messages: 44
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 15
  Ni msaada mzuri ulionifikia kwa muda sahihi. Nadhani wanaJF tutaitumia vyema nafasi hii.:wink2:
   
 4. VeniGan

  VeniGan Senior Member

  #4
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Malipo yanakuwa ni kiasi gani?
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  kuna member tumejipa ka challnge ka ku praactise haya mambo tunajaribu kutengeneza online directory. Unaonaje ukiwa unapita pita hapa https://www.jamiiforums.com/technology-and-science-forum/106152-it-project-kwa-vitendo.html kutupa ushauri mkuu

  otherwise nitakuwa nakushtua
   
 6. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #6
  Feb 26, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  thanks a lot mkuu hope tutaitumia fursa hii ipasavyo na autatuchoka mkuu wetu
   
 7. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #7
  Feb 27, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Thanks! Tutatumia msaada wako.
   
 8. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #8
  Feb 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  aisee huu ni msaada kwa wakati muafaka, mimi nahitaji ushauri kwenye website yangu.
  MWANZA | TANZANIA | Mwanza City Directory
  sababu najua lazima inamapungufu, hususani kwenye Map and navigation system yake coz sometimes inashindwa kuonyesha map ya mwanza kwenye baadhi ya old version of ie. Na vingine vingi ambavyo vina boresheka.
   
 9. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu Nina swali kwako na kwa wale wote mliotangulia kwenye haya mambo ya web development.


  • NI nyenzo gani au tool gani nzuri kwa kudesign web forms zenye sifa ya accesibility an usability.Form mbili tutakazotengeza resgistration form and log in form

  • Pia kama tukipata msaada wa secure login script au link yenye nicely secure login script katika PHP

  Natanguliza shukrani
   
 10. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #10
  Mar 19, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Hosting inaanzia $10.00 per month, kuna daily backup, 24/7 support, unlimited email accounts & unlimited FTP accounts etc...

  Vingine baada ya ku-review sites zenu ndo tunaweza kukufahamisha cost yake. Ni Crashwise pekee kanitumia mail, inafanyiwa kazi.
   
 11. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  mi nahitaji kutengenezewa web site kwa kaproject kangu, ni kiasi gani cha pesa? Am serious on it.
   
 12. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Dah mwana site yako inahitaji msaada, angekuwa mwanadamu ningeshauri babu afanye mambo yake!

  Hii imekaaje??

  MWANZA | Buy or Sell | Mwanza City Directory

  Mi nimeshindwa kuelewa, hata ferari haiuzwi Hiyo bei!

  Invisibleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!, Fanaya Mambo
   
 13. bwax

  bwax Member

  #13
  Mar 20, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 37
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  @Mtazamaji: Drupal is the best tool/CMS that you can use to develop secure login page. But at the end of the day kuna mambo mengine ya muhimu ya kuangalia kuhusiana na security mbali na login or registration page.
   
 14. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Ningewashauri kwenda na framework kama CakePHP, CodeIgniter etc hizi zinakuja na functions zinazosaidia kwenye common functionality kama Login, Registration, Session Management,File handling,Email, DB etc. Plus kwa vile zina community kubwa chance za kuwa na security flaws ni ndogo zaidi. Kama mnataka kuanza zero tutorial ziko kibao net google tu php login scrip, login tutorial etc.
   
 15. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Thank you ninazo sample codenime gogle na kupata but najua though expernceya watu na ushauri inaweza kupunguza muda kujua where to get the best. wich is secure but no so complicated.
  Yah mkuu aksante sana nishagoogle na na google sana BUt najua nikipata ushauri wa wataalm na kwa kuwa nina knoeldge ndogo basi tunaweza kutoka na kitu super zaidi. Information is power . Hizo cake PHP code igniter nilikuwa sijui hapo hata nikizurula huko gogle najua mitaa gani nipite.

  AkSanteni sana
   
 16. bwax

  bwax Member

  #16
  Mar 21, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 37
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  @mtazamaji: Poa but if you choose to go with joomla then nakushauri utumie joomla best practise za kutengeneza login/registration page ambapo itakurahisishia kwenye ku-limit permission based on roles.

  Kama utaamua kutengeneza login form yako kwenye platform yoyote e.g joomla,drupal etc then itakubidi uhakikishe unazitumia form API properly bila kuweka pengo lolote la kushambuliwa na attackers.

  My experience kwenye hii web development sector inaonyesha kuwa watu wanaojaribu kudevelop custom code then kuzi-integrate na application nyingine, wako hatarini kudevelop complex codes ambazo inakuwa vigumu ku-maintain down the road....
   
 17. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #17
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hii imekuja wakati mzuri sana,ila kwa mimi nitakuhitaji from august maana kuna system naitengeneza afu na kitabu kinabana,ila asante sana maana kwa sasa najua pa kuelekea kutoka nilipo,thanks
   
Loading...